miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
a was busy na kazi zingine maa
Ok umepata hela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
a was busy na kazi zingine maa
hahaaaa inabidi atugawie salary yake... ile kazi haikua ndogo
Habari yako Sir Maatope,nani kakughafirisha tena?
Ok umepata hela?
Je te aime Heaven on Earth.....habari zimfikie Viol
Hahahaaa...ili upange mbinu za kumchuna ..we mbaaayaaaaa....
Haaaaaa Vin inatosha kwenye hii thread.., turudi kule kwetu
Yaan mods mna dharau mmemuona HOD sio selebrit uzi mmeumuvuzisha huku kweliii,wakati mwenzenu maarufu mpiga picha wa msanii mkubwa Tanzania nzima Diamond platnum loo
Mfyuuuuuu hebu tuondolee huko na HOD wako naona wameogopa kwanza maana anafanana kama katoka kuugua ebola maana huo uso?mhhhhh??????
Umerudi ulikua wapi ?
Jf wengine tumejiunga jana tu, unaposema umerudi hata hatukuelewi, kwamba wewe ni nani? na ulikuwa umeenda wapi? na lengo lako la kutuambia amerudi nini? na sisi tufanyaje? .
wapi sema uelewekeaisee haka kamwandiko kama nimewahi kukaona mahali
Mfyuuuuuu hebu tuondolee huko na HOD wako naona wameogopa kwanza maana anafanana kama katoka kuugua ebola maana huo uso?mhhhhh??????
Mmmmmmmmmmmh!!!!!
Nini mbaya?????
Sio vizuri kumshindilia mwenzio makavu kiasi hicho
Sio vizuri kumshindilia mwenzio makavu kiasi hicho