Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Nimetimiza zile siku za kusubiria ili nikapime tena wakuu mdudu bado yupo ila hakuna kuumwa tumbo ni kichwa kuuma kizunguzungu kama nataka kuanguka, mwili kuchoka, kuhisi kama kuna kitu hapa kifuani upande wa kushoto aiseee huyu mdada atari mno..nimebadilishiwa dozi tena full madawaðŸ˜ðŸ˜