mbinu gani atumie sasa?followers wengi wanapenda umbea au wapate story design flani na kiba siyo wa maisha hayo!siku pekee ali kiba alipata followers wengi ni alivyokuwa anakaribia kurelease ngoma zake!..kwa sasa labda akikaribia kudondosha kichupa na anaweza kupata follower wengi!......kumfananisha kiba na diamond kwa sasa nje ya music ni kumuonea kiba!diamond maisha yake ni sinema halafu katika suala la followers diamond anakusanya followers wake mwenyewe na wa wema sepetu,hapo bado followers wa vitorondo wake kina esma plutnumz!hapo bado hashtags za wanamuziki wakubwa na awards anazogombania ambao akiwa mentioned IG watu wasiomjua wanamfollow