Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaangalie hata chrissbrown hajamfollow mtu
The same to Beyonce
Sasa we huwezi kucomment bila kutusi,halafu nikikutukana ndo raha?
Ujinga ni sifa wala siyo tusi.
Nasikia nayeye ni diaspora huyo ndo najiuliza kwa reasoning hiyo anaweza changia nini katika maendeleo ya nchi?
unakuta MTU na elimu yake anapoteza mda kuchambua upuuzi....
Ndio nimeshindwa hata kumuelewa kabisa.
Kiba inabidi ajipange aongeze followers kwenye accounts zake za social networks hao followers ni wachache sana kwa mwanamuziki mkubwa.
Wanamuangusha sana.
Kaangalie hata chrissbrown hajamfollow mtu
Hapa ndipo ninapozidi kumkubali Platnumz,hata akishuka leo tutakuwa naye tu.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kiba inabidi ajipange aongeze followers kwenye accounts zake za social networks hao followers ni wachache sana kwa mwanamuziki mkubwa.
Wanamuangusha sana.