Ha-follow hata mmoja

Ha-follow hata mmoja

masikini ali "K" ...........

Grand PA
 
Kiba inabidi ajipange aongeze followers kwenye accounts zake za social networks hao followers ni wachache sana kwa mwanamuziki mkubwa.

Wanamuangusha sana.
 
Ujinga ni sifa wala siyo tusi.

Nasikia nayeye ni diaspora huyo ndo najiuliza kwa reasoning hiyo anaweza changia nini katika maendeleo ya nchi?

unakuta MTU na elimu yake anapoteza mda kuchambua upuuzi....
 
Nasikia nayeye ni diaspora huyo ndo najiuliza kwa reasoning hiyo anaweza changia nini katika maendeleo ya nchi?

unakuta MTU na elimu yake anapoteza mda kuchambua upuuzi....

Ndio nimeshindwa hata kumuelewa kabisa.
 
Ndio nimeshindwa hata kumuelewa kabisa.

Siku zote watu wenye fikra hafifu hawawezi fikiri nje ya box...

Kuto kufollow MTU hata mmoja ni heri kuliko kuffollow watu wachache miongoni mwa followers wengi...

Kama MTU upo okay follow wote ili ku balance equation....

MTU Una followers laki mbili then unafollow 300 inamaanisha unabagua na kudharau wale usiowafollow...

Ukiamua kutofollow yeyote hii inaleta usawa na kuondoa segregation....

Kwa watu wepesi ni vigumu kuelewa hayo...

BTW sio ishu ya kuifungulia thread.....
 
wengine hizo account wanaendesha washkaji zao wa karibu....hao ndo sometimes wanawafelisha majamaa!
 
Kiba inabidi ajipange aongeze followers kwenye accounts zake za social networks hao followers ni wachache sana kwa mwanamuziki mkubwa.

Wanamuangusha sana.

mbinu gani atumie sasa?followers wengi wanapenda umbea au wapate story design flani na kiba siyo wa maisha hayo!siku pekee ali kiba alipata followers wengi ni alivyokuwa anakaribia kurelease ngoma zake!..kwa sasa labda akikaribia kudondosha kichupa na anaweza kupata follower wengi!......kumfananisha kiba na diamond kwa sasa nje ya music ni kumuonea kiba!diamond maisha yake ni sinema halafu katika suala la followers diamond anakusanya followers wake mwenyewe na wa wema sepetu,hapo bado followers wa vitorondo wake kina esma plutnumz!hapo bado hashtags za wanamuziki wakubwa na awards anazogombania ambao akiwa mentioned IG watu wasiomjua wanamfollow
 
Hapa ndipo ninapozidi kumkubali Platnumz,hata akishuka leo tutakuwa naye tu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Katika watu 255000 Diamond ame-follow watu 300 tu ambayo ni 0.117647 hapa kawapendelea watu 0.117647 na kawabagua watu zaidi ya 99% ni bora kutoku-follow mtu hata mmoja kuliko kutengeneza matabaka
 
Kiba inabidi ajipange aongeze followers kwenye accounts zake za social networks hao followers ni wachache sana kwa mwanamuziki mkubwa.

Wanamuangusha sana.

Iyo idadi ya followers mpwa katupeleka chaka dzain tumelishwa tango pori,mpaka leo idadi ya followers ni kama inavyoonekana pichani,suala la ku-unfollow amelifanya recently na IG bado anaweza kumcheki swahiba ake sio lazima am-follow.
ImageUploadedByJamiiForums1413212787.401678.jpg
 
Back
Top Bottom