Ha-follow hata mmoja

Kiba inabidi ajipange aongeze followers kwenye accounts zake za social networks hao followers ni wachache sana kwa mwanamuziki mkubwa.

Wanamuangusha sana.
Songa anao 5000 lakini walionunua mix tape hawafik buku
 

km kawa
maelezo mazuri
 
haiwwwezekani kutoa like kwa kila like unayopokea. unamfollow anayekupendeza.
 

What a comment...
Big up Muuza Sura
 
Last edited by a moderator:

Mbinu gani atumie ni simple ata kufollow watu inaongeza followers pia, mfano kwenye tweeter unapowafollow watu maarufu wasio kufollow km djs watangazaji wasanii radios nk unapo tweet nao waka retweet unazidi kujitangaza na watu wanazidi kukufollow..mtu kama AY au Jide ana followers kama laki kadhaa akiretweet kitu chako inamaana watu wake wote watakuwa wamekuona na wakaamua kukufollow.

Fid q aliongeza followers kipindi flani alipotangaza kuwa kila jumamosi atakuwa anajibu maswali yoyote atayoulizwa na alikuwa akijibu watu wakawa wanamfollow ili wajichanganye nae.

Cha msingi Kiba atafute njia zake asifate Diamond kawapataje followers coz nachoshangaa zaidi mtu anaemsimamia ndio anaendesha pages za watu waliofanikiwa kuwa na watu wengi kama AY na FA hapa ndio nashindwa kumsoma.

Kwa biashara ya sasa hivi ya muziki social networks ni kitu muhimu sana kuna watu au makampuni yakitaka kufanya kazi na wewe yanaangalia kwanza nguvu yako kwenye social media hawataki longolongo, ndio sasa wanakuta star number moja una followers buku 60 ukipost unapata reply 50 utawafikishiaje bidhaa zao ss.
 
Songa anao 5000 lakini walionunua mix tape hawafik buku

Ukiwa na followers buku 5 haimaanishi wote ni washabiki wako wengine wapo kupata habari zako wakauze as you know siku hizi watu hawasubirii interview ndio wapate habari zako. Wengine ni kutanua tu base yao ya influence.

Lakini pia kama mtu anaweza kuuza copy ata buku kupitia kutangaza insta au tweeter ni faida pia coz angewapata wapi kama sio thru social media.
 
Yap ni maamuzi tu ....mbona hata mimi sijafollow ata mmoja
 
Watu wengine bna......sijui mna matatizo gan...yaan mnadiscuss uharo tu...hovyooo
 
Wabongo kuna kitu hamuelewai. Insta si pahali pa ku communicate na mastaa wenzako kwasababu huwezi kutuma ujumbe wowote ( msg ) mbali na kupost picha tu kwa mashabiki.

Inshot ni kwamba insta iliundwa kwa mastaa kuwaekea picha nzuri mafans wao tu ndo maana mastaa wengi duniani hawa follow mtu. si alikiba tu hata criss brown , beyonce nk.

Kiba angelikua jeuri kama ingekua hajafollow mtu twitter. lkn si waona ame follow watu kibao tu anaowakubali. Hii ni kwasababu twitter waweza tuma jumbe za siri (msg) kwa mastaa wenzako wakati itakua umewafollow. period
 
Alikiba alishasemaga hanaga uswahiba na msanii yeyote,but hakusema kwanini
 
Nasikia nayeye ni diaspora huyo ndo najiuliza kwa reasoning hiyo anaweza changia nini katika maendeleo ya nchi?

unakuta MTU na elimu yake anapoteza mda kuchambua upuuzi....

Ndio nimeshindwa hata kumuelewa kabisa.

Wakuu nimewaelewa sana,peace!
 
Kazi ipo. Kila upande umeshupaa. Ila Alikiba yupo chini tuache ushabiki.
 
Watu wengi wamekimbia hesabu humu hawajui 255k maana yake nini!
 
Khaa watu mna vihebe nyinyi, kwani lazima amfollow mtu! Pitenii kuleee mbali kabsa kama mmechefukaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…