Ha ha ha mwalimu oyee..!!

Ha ha ha mwalimu oyee..!!

kama we ni mwana mama na umeandika hivi poa...ila kama ni jinsi ya ME pole sana

Ahsante mi dume kama jike halijaolewa kwenu niite...

BTW kitanda usicholalia huwajui kunguni wake...
 
Ha ha ha mkuu nimekutania tuuuu ni siku nyingi ujue halafu juzi niliingia jela kwa muda nikatoka vipi naona nimekutania kidogo tu huko juu mitikisiko ishaanza...

Tatizo una maneno mengi sana, uko poa lkn? Cell kupoje hivi
 
Back
Top Bottom