Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
kama we ni mwana mama na umeandika hivi poa...ila kama ni jinsi ya ME pole sana
Ahsante mi dume kama jike halijaolewa kwenu niite...
BTW kitanda usicholalia huwajui kunguni wake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama we ni mwana mama na umeandika hivi poa...ila kama ni jinsi ya ME pole sana
Si kosa lako kijana
Ha ha ha mkuu nimekutania tuuuu ni siku nyingi ujue halafu juzi niliingia jela kwa muda nikatoka vipi naona nimekutania kidogo tu huko juu mitikisiko ishaanza...
Ahsante mi dume kama jike halijaolewa kwenu niite...
BTW kitanda usicholalia huwajui kunguni wake...
Tatizo una maneno mengi sana, uko poa lkn? Cell kupoje hivi
Dah... haya bhana mipasho siiwezi!
Ndo usiruke ruke hovyo kama panzi huyo nilomwambia hivyo twafahamiana hivyo nilikuwa namtania...
seriously.... we kwani ni ME?
Mi jinsia moja na Membe
nimependa unavyoandika.... so pinkyyy and delicate
OK... Nashukuru kwa mda wako...
why shutting me off sasa...
Sina muda wa ziada nafikiri hatuna jipya la zaidi....
Silihitaji.
Ahsante....
we vp mbona unapewa za uso utaki kusikia lol!!!!!!!!!!!!!!!!!what if mimi ninalo!
wooow! strong, tough, independent... nice characters!
we vp mbona unapewa za uso utaki kusikia lol!!!!!!!!!!!!!!!!!
Thanks a million.....
may bereally! no need for that... i just did what i had to.