Ha ha ha mwalimu oyee..!!

Ha ha ha mwalimu oyee..!!

Unadhani ulitumia busara kuandika kama ulivyoandika hapo juu?

kama upo sahihi muonye niliemjibu,mimba si unajua inasababisha mtu kuwa na tabia ya ajabu kwaiyo nilihc ana kaujauzito
 
Aiseee ! Wacha nifurahi mwalimu miye! Kwa walosoma uzi wangu wa kuchoka mwili na roho watakuwa wanaelewa nini kinachoendelea hapa!........ ndo hivyo tena nshahama huko porini nipo kituo kingine kabisaaaa!! Full umeme maji usiseme,yani nikiangalia huku bonge la hospital,hapa kanisa,magari hadi mlangoni (kwanini nisiende mjini?)hewa saafi kabisa DAR kufanya nini?(huko shule tu na kusalimia hiyo mifoleni nani anataka? wee tutabanana hukohuko)......... Yani kweli msuli wote ule,mbu wamenifaidi,nimekoswa na misap afu muda umefika wa kurelax nakutana na eti poor mazingira thubutuu nani kasema! wamenibembeleza wenyewe!! Nchi yangu,maisha ni yangu yanini niteseke eti kisa mwalimu who told you?ukiiendekeza hii nchi wallah utakufa masikini unajiona!!......... Mi napenda kuwaambia nyie ndugu walimu msiwe wanyonge kiasi hicho ,msijidharau na wala msiwape nafasi watu kudharau ualimu wako maisha ni kupambana,kupanga na kuchagua!! ........... anyway naombeni niishie hapa (naandaa scheme of work loh hili nalo janga)..ntarudi kuwaambia kitu.....

Utakua wa kanda ya ziwa wewe.
 
unamawazo ya kikabwela!!!! Ntakuwekea video kabisa!!!unajingine?????

haa haaa haa uweke aiseee mimi naingoja.alafu na head master akikuomba apo umpe apo hiyo papuchi na yeye ili akufanye mtaaluma mkuu sawa eee mrembo ee?
 
Nawashukuru wote mlionipa pole ,moyo na ushauri jinsi ya kukabiliana na mazingira yale ila mmmh pamenishinda,huko ntarudi kulima tu loh! Arushaone thenks sana my dia kwa ushauri wako. Arovera nitafata ushauri wako kama ulivyonieleza, lusungo -am happy now my frend, sosoliso mwambie babu am safe now Mdau ubarikiwe kwa ushauri wako , Rogie nashukuru kwa pole loh tuonane june! Ha HUNIJUI Fidel80 dikembe kwamtoro Jerrymsigwa chopeko NGANU chonbinsky @horseshoe arch Manka m Dinazarde mwekundu dah na wengine mliokuwa nami mbarikiwe!...... wacha sasa nifanye kazi niache majungu! (Afu mjue vile vihela vyao bado sijavila mana nilikuwa na hasira ha ha ha kesho mjinii kununua dressing table loh mwalimu kujiremba!!!)... Kwaherini jamani!!
hivi inawezekana kwa mtu ambaye hana profession ya ualimu, lets say mhasibu, akapewa nafasi ya kufundisha kama mwalimu incase kwa shule ambazo hazina waalimu kabisa na akalipwa mshahara kamili wa mwalimu?

cc wakuu wote wa jukwaa la elimu wanaojua suala hili.
 
Back
Top Bottom