Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Mbona Shule za mwisho zote zimetokea Kanda ya Kusini? Bila shaka huko ni Songea Songea
Sio kweli kuwa Shule hizi ni za Songea.Zote hapo zipo mikoa ya Lindi na Mtwara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Shule za mwisho zote zimetokea Kanda ya Kusini? Bila shaka huko ni Songea Songea
Huko Kusini kuko hivyo makusudi ili CCM iendelee kupata kura zao.By Daudi Mchambuzi![]()
4.2Shule zilizoshika nafasi kumi za Mwisho
4.2.1Shule za Serikali
[TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]NA[/TD]
[TD]SHULE[/TD]
[TD="width: 216"]KANDA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]1.[/TD]
[TD="width: 186"]MIHAMBWE[/TD]
[TD="width: 216"]KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]2.[/TD]
[TD="width: 186"]DINDUMA[/TD]
[TD="width: 216"]KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]3.[/TD]
[TD="width: 186"]KIROMBA[/TD]
[TD="width: 216"]KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]4.[/TD]
[TD="width: 186"]MARAMBO[/TD]
[TD="width: 216"]KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]5.[/TD]
[TD="width: 186"]MBEMBALEO[/TD]
[TD="width: 216"]KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]6.[/TD]
[TD="width: 186"]KINJUMBI[/TD]
[TD="width: 216"]KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]7.[/TD]
[TD="width: 186"]LITIPU[/TD]
[TD="width: 216"]KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]8.[/TD]
[TD="width: 186"]LUAGALA[/TD]
[TD="width: 216"]KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]9.[/TD]
[TD="width: 186"]MIGURUWE[/TD]
[TD="width: 216"]KUSINI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 61"]10.[/TD]
[TD="width: 186"]NAPACHO[/TD]
[TD="width: 216"]KUSINI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ulitaka ampe sugu au silinde uwaziri?Kati ya mambo yaliyosababisha JK adharauliwe na wana-mbeya na watanzania kwa ujumla ni kitendo cha kumpa unaibu waziri huyu jamaa!..........lakini ataondoka tu ni suala la muda!
Yule jamaa aliyekuja na muungano wa pemba na zimbambwe south Africa, leo amenifurahisha sana alipokuwa anatangaza matokeo ya kidato cha pili kwa mambo mawili<
1. Eti mikoa ya kanda ya ziwa ni Mwanza na Mara.
2. Ameshindwa kabisa kutamka neno Thaqaafa second. anatamka swafaka ee, swaaa, swaa................ hadi alipopata msaada wa waandishi wa habari jinsi ya kutamka neno hili.
Hapa sitaki tena na tena kuamini kwamba hii ni MISTAKE hii ni ERROR japo sina uhakika kama anajua tofauti ya maneno hayo.
yani huyu jamaa anamatatizo sana , kila sentesi tatu alizokua anasoma alikua lazima anakosea sentesi moja na kuasaidiwa na watu waliokua wamekaaa naye pembeni ila sauti za kumrekebisha zilisikika vema na yeye alikua akifanya marekebisho kwa kuongozwa na sauti hizo.
Uyu jamaa ameokotewa wapi??
Mkuu, hayo matokeo yanapatikana wapi? Nimepita NECTA website sijafanikiwa. Naomba link tafadhali.
Queen Esther
Mkuu, hayo matokeo yanapatikana wapi? Nimepita NECTA website sijafanikiwa. Naomba link tafadhali.
Queen Esther
Kaka ni za Mtwara na Lindi ndo maana kwenye gas wanakuwa wakaliMbona Shule za mwisho zote zimetokea Kanda ya Kusini? Bila shaka huko ni Songea Songea
unasikia bwana mdogo, huwezi kumuondoa mtendaji muhimu wa serikali kwa hoja zisizo na mashiko!
hayo ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa, tena kutoka kwa watu wasio na responsibilities zozote katika jamii zao.
labda ningewashauri tu, mjaribu kutumia muda wenu vizuri ili Taifa liondokane na umaskin
huwa yanaratibiwa na halmashauri hayo necta hawahusikina usahihishaj wake ndo maana yabatangazwa na wizara ingawa matokeo yanatumiwa na necta ikiwa mwanafunzi atafika form IV
Ooh! Ameeeen and Ameeeen (smile!)Mkuu.
Haya matokeo yame sahihishwa kikanda na matokeo hayo huwa hayawekwi kwenye tovuti ya Necta.
Nakushauri ufuatilia matokeo hayo kwa kanda husika.
Ubarikiwe mpaka upigwe na butwaa!
Yule jamaa aliyekuja na muungano wa pemba na zimbambwe south Africa, leo amenifurahisha sana alipokuwa anatangaza matokeo ya kidato cha pili kwa mambo mawili<
1. Eti mikoa ya kanda ya ziwa ni Mwanza na Mara.
2. Ameshindwa kabisa kutamka neno Thaqaafa second. anatamka swafaka ee, swaaa, swaa................ hadi alipopata msaada wa waandishi wa habari jinsi ya kutamka neno hili.
Hapa sitaki tena na tena kuamini kwamba hii ni MISTAKE hii ni ERROR japo sina uhakika kama anajua tofauti ya maneno hayo.
kama una maswali nenda ofisi husika utapata majibu. mtu makini huwezi kua na mdahalo na watu fakeEheeeeeeeeeeeee asante sana kwa kujitokeza, wewe unatumiaje nafasi yako ili kuliondo taifa kwenye umaskini?
Unajua waliokwenye vijiwe wanauwezomkubwa sana hata wakati mwingine kukuzidi, chondechonde hiyo ni nafasi tu usijaribu kuwadharau watu, neno bwana mdogo tafsiri yake nini?
Naomba panga muda kama zito alivyofanya uje hapa Jf ujibu maswali ya GREAT THINKERS
Kwa kuwa siyo verified user, basi tutachukulia kuwa wewe ni mtu baki tu, na unatoa mawazo yako binafsi.kama una maswali nenda ofisi husika utapata majibu. mtu makini huwezi kua na mdahalo na watu fake
Yaelekea tunapenda sana kukosoa hata yasiyo na msingi.
Mara na Mwanza ndio ni mikoa ya Kanda ya Ziwa au hiyo nayo alikosea? Ama unamaanisha Kagera kutotajwa?
Kwenye silabi ya Kiswahili hatuna maneno yenye kutumia X na Q kwa hiyo sioni kioja kwa mtu kutamka Thaqaafa unless uwe umepitia madrasa ndio utaona wenzio wajinga.
Tuache kujifanya sisi ndio tunajua saaaaana, hapa hapa, kwenye mada hii hii, Daudi Mchambuzi ameandika sehemu 'uyu jamaa' na yeye tumuanzishie uzi kwa maana hatuna neno 'uyu' kwenye Kiswahili?