Ha tunnel inasumbua muda mwingi inahitaji ni add time

DEICHMANN

Senior Member
Joined
Sep 19, 2022
Posts
157
Reaction score
123
Habarini.

Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia.

Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
 
Habarini.
Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia.Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
unatumia line gani ya simu mkuu
 
Habarini.

Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia.

Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
HA Tunnel wana Channel yao na group lao official huko Telegram na Developers wamo wanajibu matatzo yote au huenda wanajua hilo tatzo wapo wanafix! Sasa cha kuleta huku JF mada ya HA Tunnel ni nini mkuu? Devs wake wako huku JF?
 
Ina maana Kila swala linahitaji maelezo ya developers? Hakuna watumiaji? Bila shaka Kuna ambao wame-experience tatizo kama lake.

Kuelezwa au pengine kupatiwa ufumbuzi na ambao si developers ni dhambi?

Response za developers huwa zinachelewa kuliko kuleta kwenye jukwaa lenye watu wengi wa aina tofauti.

Ungemshauri tu awasiliane na developers Kwa njia uliyoitaja, lakini si kumlaumu Kwa sababu ya kuwasilisha JF.

Usiku mwema.
 
Habarini.

Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia.

Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
Hi ngoma Bado inafanya kaz nimeiacha Muda San kumbee Bado ipo
 
Embu ngoja ni update yangu nione Kama Bado IPO poa
 
Habarini.

Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia.

Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
Oy mwamba naomba nisaidie file la unlimited airtel
 
Habarini.

Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia.

Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
Ha Tunnel ndo game gani hiyo?
 
Ina maana Kila swala linahitaji maelezo ya developers? Hakuna watumiaji? Bila shaka Kuna ambao wame-experience tatizo kama lake.

Kuelezwa au pengine kupatiwa ufumbuzi na ambao si developers ni dhambi?

Response za developers huwa zinachelewa kuliko kuleta kwenye jukwaa lenye watu wengi wa aina tofauti.

Ungemshauri tu awasiliane na developers Kwa njia uliyoitaja, lakini si kumlaumu Kwa sababu ya kuwasilisha JF.

Usiku mwema.
Moja ya platform iliyochangia hizi VPNs kufungwa ni pamoja na JF mbali na Facebook... Kila uchao watoto walkua wanaleta mada za HA Tunnel ikawafanya ISPs kua attention na kinachoendelea baadae zilizimwa kama masihara tu...

Nilkua na VPS zangu 2 za DigitalOcean ili kuepuka mambo ya kurundikana na kugombania server za HA ambapo hata nayeye alkua anatumia za DigitalOcean na nlkua na hosts zaidi ya 30+ kati ya hizo hosts 30 ni 2 tu zilkua zinazagaa ambazo hata ww na imani ulitumia lakini walivyoanza kufunga hizo hosts walifukunyua zote hadi zingne ambazo tulkua nazo wachache hizo tu zilipigwa chini.... Yaani walifata chain na kureform system yote hadi FB ya buree iliondolewa sijui kama bado kuna ISPs bongo anatoa Free FB au ile Freebasics...

Sasa mkiambiwa hizi mada za free internet msilete huku muwe mnaelewa, humu ISPs wapo muda wote wanazurula tu na mbaya zaidi wana mawakala wao hata hawa wanaosajili laini msiwachukulie poa ni wachomoa fuse wazuri tu kwenye hizi tricks..
 
Umeongea point.

Kuna watu wana akili za kitoto sana humu.
 
Wanazingua sana na hivi la saba wamemaliza shule hivi majuzi na kuna form four soon wanamaliza shule watajoin humu tutaona mengi bro...
 
Anayejua maujanja ya kuunga vifurushi kuanzia GB 30 atupe tuijue hiyo menu kwa mitandao yote kuna watu wanaunga hivi vifurushi.
 
Moja ya platform iliyochangia hizi VPNs kufungwa ni pamoja na JF mbali na Facebook... Kila uchao watoto walkua wanaleta mada za HA Tunnel ikawafanya ISPs kua attention na kinachoendelea baadae zilizimwa kama masihara tu...

Nilkua na VPS zangu 2 za DigitalOcean ili kuepuka mambo ya kurundikana na kugombania server za HA ambapo hata nayeye alkua anatumia za DigitalOcean na nlkua na hosts zaidi ya 30+ kati ya hizo hosts 30 ni 2 tu zilkua zinazagaa ambazo hata ww na imani ulitumia lakini walivyoanza kufunga hizo hosts walifukunyua zote hadi zingne ambazo tulkua nazo wachache hizo tu zilipigwa chini.... Yaani walifata chain na kureform system yote hadi FB ya buree iliondolewa sijui kama bado kuna ISPs bongo anatoa Free FB au ile Freebasics...

Sasa mkiambiwa hizi mada za free internet msilete huku muwe mnaelewa, humu ISPs wapo muda wote wanazurula tu na mbaya zaidi wana mawakala wao hata hawa wanaosajili laini msiwachukulie poa ni wachomoa fuse wazuri tu kwenye hizi tricks..
Kabsa mkuu kwa sasa mm nimekuwa nikifukunyua machimbo nakula kimya kimya sitaki kushirikisha hata ndugu maana ndio wachomoa fuse
 
Back
Top Bottom