Haaland ametua Manchester City

Haaland ametua Manchester City

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
1652200716325.png

Habari zinazoripotiwa na vyombo mbalimbali wakati huu zinadai yule mshambuliaji hatari wa Borrusia Dortmund ya Ujerumani, Erling Braut Haaland, ametua rasmi Man City.

Amesaini mkataba utakaomuweka Etihad mpaka mwaka 2026 huku ikitajwa atapokea kiasi cha £375,000 kwa wiki, na kumfanya awe sawa na kiungo De Bruyne anayepokea kiasi kama hicho.

Man City wamempata baada ya kutoa kiasi cha £ 63 milioni kilichowekwa kwenye mkataba wake na Dortmund kwa timu ambayo ingemtaka. Sasa ni suala la kusubiri tuone kama atawika kama alivyofanya akiwa Ujerumani.
 
Huyu "gadiola" hamna kocha mle. Na kikosi alichonacho anashindwaje kuchukua UEFA.
Waulize United,, na kikosi chao kwa nin washindwe kuingia even top four,,

Guadiola ni king of tactics,,

1)kaichukua city ambayo hata rlkuingia robo fainali ilikua ni mtihani,, lakin toka aingie etihad, suala la robo final ni constant kama pie kwa city

2) Hana natural striker , namba 9, amewatumia wachezaji waliopo ambao kiasili ni attacking mildifilders kama false 9 na kila mmoja anafunga vizuri tu

3) Ni bingwa wa kutengeneza wachezaji na kulea vipaji vyao, mfano mtu kama phill foden, Zincheko,, angalia namna vijana wanapiga kazi chini ya Pep!

Huyu kocha ni moto wa kupashia joto miles za kutosha,, huwezi mfananisha na makocha wengine, anaplay attaking football ambayo ina lmvuto kutaza,, huwezi choka kuangalia game za city
 
Upo sahihi kaka....ukitaka uujue moto wa Guadiola wa city heb tazama city akiwa katangulizwa goli 2 bila sasa zile harakati zao za kusawazisha na kutafuta ushindi ndo utashangaa jamaa wanapiga ule msako wa panya road....mara wanasawazisha afu wao ndo wanashinda😂
 
Habari zinazoripotiwa na vyombo mbalimbali wakati huu zinadai yule mshambuliaji hatari wa Borrusia Dortmund ya ujerumani ametua rasmi Man City.

Amesaini mkataba utakaomuweka Etihad mpaka mwaka 2026 huku ikitajwa atapokea kiasi cha £375,000 kwa wiki na kumfanya awe sawa na kiungo De Bruyne anayepokea kiasi kama hicho.

Man City wamempata baada ya kutoa kiasi cha £ 63 milioni kilichowekwa kwenye mkataba wake na Dortmund kwa timu ambayo ingemtaka. Sasa ni suala la kusubiri tuone kama atawika kama alivyofanya akiwa ujerumani.
Msimu ujao nawaachia akina Maguire timu yao naenda zangu Man City, ngoja tuzitafute raha maana shida zinakuja zenyewe
 
Waulize United,, na kikosi chao kwa nin washindwe kuingia even top four,,

Guadiola ni king of tactics,,

1)kaichukua city ambayo hata rlkuingia robo fainali ilikua ni mtihani,, lakin toka aingie etihad, suala la robo final ni constant kama pie kwa city

2) Hana natural striker , namba 9, amewatumia wachezaji waliopo ambao kiasili ni attacking mildifilders kama false 9 na kila mmoja anafunga vizuri tu

3) Ni bingwa wa kutengeneza wachezaji na kulea vipaji vyao, mfano mtu kama phill foden, Zincheko,, angalia namna vijana wanapiga kazi chini ya Pep!

Huyu kocha ni moto wa kupashia joto miles za kutosha,, huwezi mfananisha na makocha wengine, anaplay attaking football ambayo ina lmvuto kutaza,, huwezi choka kuangalia game za city
Yeah.. very sure
 
Ndiyo maana nasemaga ubora wa Guardiola unabebwa na wachezaji
Kina Mourinho walikuwa na wachezaji mbona mambo yamewashinda?

Guardiola ana mfumo unaoifanya Man City icheze mpira wa kuvutia unaotambulika duniani kote, hata akiwa Barcelona it was the same.

Never underestimate mpira anaofundisha Guardiola, timu nyingi siku hizi zina pesa za kununua wachezaji wanowataka lakini hawafikii level ya mpira unaopigwa na Man City.
 
Huyu "gadiola" hamna kocha mle. Na kikosi alichonacho anashindwaje kuchukua UEFA.
Real Madrid kupata yale magoli mawili dakika za tisini it was pure luck, na Grealish akakosa nafasi ya kufunga goli la pili kwa beki wa Madrid kuokoa kwenye mstari.

Mpira wakati mwingine huamuliwa na bahati, unaweza kuwa na timu nzuri sana lakini kama bahati isipokuwa uoande wako, unapoteza mchezo.
 
Sema kubeba UEFA Muda mwingine huwa ni bahati nasibu tu, imagine sir Alex ana makombe ya UEFA mawili tu wakati Zidane anayo matatu.
Hiki ndicho ninachoamini, Guardiola UEFA amekosa bahati tu, kwasababu mpira mwingi anao na hata wapinzani wake huwa hawana hamu ya kukutana nae, mfano Salah alisema wazi anapenda final kucheza na Real Madrid lakini sio Man City.
 
Waulize United,, na kikosi chao kwa nin washindwe kuingia even top four,,

Guadiola ni king of tactics,,

1)kaichukua city ambayo hata rlkuingia robo fainali ilikua ni mtihani,, lakin toka aingie etihad, suala la robo final ni constant kama pie kwa city

2) Hana natural striker , namba 9, amewatumia wachezaji waliopo ambao kiasili ni attacking mildifilders kama false 9 na kila mmoja anafunga vizuri tu

3) Ni bingwa wa kutengeneza wachezaji na kulea vipaji vyao, mfano mtu kama phill foden, Zincheko,, angalia namna vijana wanapiga kazi chini ya Pep!

Huyu kocha ni moto wa kupashia joto miles za kutosha,, huwezi mfananisha na makocha wengine, anaplay attaking football ambayo ina lmvuto kutaza,, huwezi choka kuangalia game za city
Tell her
 
Ndiyo maana nasemaga ubora wa Guardiola unabebwa na wachezaji
Jiulize ni kwanini unajua kusoma lakini bado unahitaji mwalimu wa kukufundisha.

Hauwezi kuwa kocha bora bila wachezaji bora au wenye vipaji. Hebu mpe timu hiyo hiyo Nabi wa Yanga uone mvua ya magoli inavyomshukia
 
Back
Top Bottom