Huyu dogo Angekuwa muEngland ndio tungejuta kwenye media zao.At 21, Erling Haaland has already scored more Champions League goals than:
Ronaldo [emoji1054]
Michael Owen [emoji1022]๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Francesco Totti...
ni timu kubwa Ina kombe la uefa, kuizidi hata arsenalHuwezi linganisha na hizo nilizotaja
mnataka kila kitu kiwe sawa na matakwa yenu hivi ni nani aliyewaroga ninyi???Huyu ndie anastahili kucheza na Messi, na sio mbappe
Ni kweli hata Mauya anasubiri kwa Kagere.Mbape anasubiri sana hapo
Halaand wa kawaida tu ni swala la muda.
๐๐uyo ni balaa , atavunja na kuweka record kibao na anaweza kumaliza mfungaji bora wa ligi, na sa hivi media zitachoka zenyewe , sa hivi kizazi cha haaland kitaibuka, Messi na Ronald hakuna kitu tenaLeo mechi ya 4 Tu anakaribia goli 10 EPL...huyu dogo jini la hatari
Hahahahahah.... Dog ni balaa! Bao 6 katika match mbili Si mchezo..Hili jini kabisa