Haaland anatisha sana

Haaland anatisha sana

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
At 21, Erling Haaland has already scored more Champions League goals than:

Ronaldo ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท
Michael Owen ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Francesco Totti ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น
Fernando Torres ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
Nicolas Anelka ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท
Harry Kane ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
David Villa ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ
Ronaldinho ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท
Adriano ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท
Ronaldinho ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท
Zinedine Zidane ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท
Romario ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท

Huyu dogo hapo bado hajachezea timu zenye kutengeneza nafasi nyingi ..kama Liverpool au Man city au Psg Barca au Madrid keshavunja rekodi tele kama hivi..

Huyu dogo anatisha sana
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€uyo ni balaa , atavunja na kuweka record kibao na anaweza kumaliza mfungaji bora wa ligi, na sa hivi media zitachoka zenyewe , sa hivi kizazi cha haaland kitaibuka, Messi na Ronald hakuna kitu tena


Hili jini kabisa
 
Back
Top Bottom