Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp tuongeze sauti au inatosha?Atoke uko uchochoroni aende timu kubwa akutane na presha ya timu kubwa ili atambe na sifa atakazo pewa zitakuwa kubwa. Uko vichchoroni ata Kama unaupiga mwingi sifa haziwi nyingi.
Alafu mahesabu yake ya kupokea mipira sasa utayaelewa? na kuyatumia kutandika mabao kwa staili ambazo huwezi jua atazitumiajeJamaa ana nguvu nyingi, speed halafu ni tall unamkabaje sasa
Ongeza sauti. Haaland n wa kawaida sana sema watu kama nyie ndo mnampaisha tu mi naona hajui kabisa mpira anarukaruka kama bata uwanjaniHalaand wa kawaida tu ni swala la muda.
Dah the Boss huu uzi ni wa mwaka mmoja uliopita. Umetisha GTAt 21, Erling Haaland has already scored more Champions League goals than:
Ronaldo 🇧🇷
Michael Owen 🏴
Francesco Totti 🇮🇹
Fernando Torres 🇪🇸
Nicolas Anelka 🇫🇷
Harry Kane 🏴
David Villa 🇪🇸
Ronaldinho 🇧🇷
Adriano 🇧🇷
Ronaldinho 🇧🇷
Zinedine Zidane 🇫🇷
Romario 🇧🇷
Huyu dogo hapo bado hajachezea timu zenye kutengeneza nafasi nyingi ..kama Liverpool au Man city au Psg Barca au Madrid keshavunja rekodi tele kama hivi..
Huyu dogo anatisha sana
Hupo mkuu?Atoke uko uchochoroni aende timu kubwa akutane na presha ya timu kubwa ili atambe na sifa atakazo pewa zitakuwa kubwa. Uko vichchoroni ata Kama unaupiga mwingi sifa haziwi nyingi.