Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Unpopular opinions; Wengi wanaamini Haaland ni mchezaji mzuri sana, ni forward hatari sana, lakini napenda kuwaambia Haaland ni mzigo mzito ndani ya Man City.
City wakiwa na Haaland mbele wanakuwa pungufu tayari, sahau kuhusu magoli yake 36 ambapo kama angekua ni mzuri zaidi basi tungekua tunazungumzia magoli 50.
Haaland anaikaba City, pamoja na ubora wao City mwaka huu walikua na bahati pia. Nina imini City wangekuwa wazuri zaidi kama angekuwa mtu mwingine ile nafasi ya Haaland. Hata Foden au Bernardo wangecheza nafasi ya Haaland, City wangekua bora zaidi ya hapa.
Haitachukua muda mrefu Haaland kuchemka City na kuondoka. Haaland hatafanya vizuri sana City, ataondoka ndani ya misimu miwili ijayo.