Haaland ni tatizo Man City atachemsha ataondoka

Haaland ni tatizo Man City atachemsha ataondoka

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
20,694
Reaction score
32,527
Unpopular opinions; Wengi wanaamini Haaland ni mchezaji mzuri sana, ni forward hatari sana, lakini napenda kuwaambia Haaland ni mzigo mzito ndani ya Man City.

City wakiwa na Haaland mbele wanakuwa pungufu tayari, sahau kuhusu magoli yake 36 ambapo kama angekua ni mzuri zaidi basi tungekua tunazungumzia magoli 50.

Haaland anaikaba City, pamoja na ubora wao City mwaka huu walikua na bahati pia. Nina imini City wangekuwa wazuri zaidi kama angekuwa mtu mwingine ile nafasi ya Haaland. Hata Foden au Bernardo wangecheza nafasi ya Haaland, City wangekua bora zaidi ya hapa.

Haitachukua muda mrefu Haaland kuchemka City na kuondoka. Haaland hatafanya vizuri sana City, ataondoka ndani ya misimu miwili ijayo.

20230614_175644.jpg
 
Jamaa ni finisher mzuri Ila sio ball controller , anafunga endapo timu ikiwa everything going well na hasa katika mazingira ya counter attack , timu ikibanwa wanaoiokoa mara nyingi ni attacking midfielder... , angalia champions League mara ya mwisho kuscore ni kwenye 16 Bora sjui..
 
Jamaa ni finisher mzuri Ila sio ball controller , anafunga endapo timu ikiwa everything going well na hasa katika mazingira ya counter attack , timu ikibanwa wanaoiokoa mara nyingi ni attacking midfielder... , angalia champions League mara ya mwisho kuscore ni kwenye 16 Bora sjui..
Hata sio finisher mzuri. Nimemfatilia sana, chances anazopata ndio nyingi
 
Wabongo bana, City wamefanikiwa kubeba Champion League kwa mara ya kwanza wakiwa na yeye uwanjani, Kabla ya ujio wake timu ilikuwa inatilisha huruma sana. Kama vipi wamrejeshe Jesus au Starling uone yatayotokea msimu ujao. P
 
Haaland msimu wa kwanza tu kavunja record ya magoli epl, sasa hao wengine ambao wangefunga 50 ni kina nani? Uliona magoli ya kinyama ya huyu jini, mi man u Lia Lia ila haaland ni jini aisee

Ungekua karibu ningekupiga vibao kwa huu upuuzi ulioandika

Shenzi
 
Haaland msimu wa kwanza tu kavunja record ya magoli epl, sasa hao wengine ambao wangefunga 50 ni kina nani? Uliona magoli ya kinyama ya huyu jini, mi man u Lia Lia ila haaland ni jini aisee

Ungekua karibu ningekupiga vibao kwa huu upuuzi ulioandika

Shenzi

Angalia na watu wanaomzunguka,
 
Hawa kina kdb, bernado, foden, gundo si walikuwepo msimu uliopita au, kina Jesus walipata goli 50+?
Jesus hakucheza mechi nyingi, hata hivyo tunaposema Haaland hamna kitu haina maana amaepitwa uwezo na kila mchezaji
 
Wewe Countrywide hujui mpira hebu nyamaza. Man City hawahitaji mshambuliaji anayejua kuuchezea mpira maana wachezaji wa aina hiyo wanao wengi sana. Walihitaji finisher and goal poacher and in Haaland they have one for years to come.
Soka najua vizuri mno, nimelicheza, nimefatilia na nafatilia kila kitu. Hakuna kitu kwenye soka utaniongea, I'm better kuliko wachambuzi wengi unaowajua
 
Unpopular opinions

Wengi wanaamini Haaland ni mchezaji mzuri sana, ni forward hatari sana. lakini napenda kuwaambia haaland ni mzigo mzito ndani ya man city

City wakiwa na haaland mbele wanakuwa pungufu tayari, sahau kuhusu magoli yake 36 ambapo kama angekua ni mzuri zaidi basi tungekua tunazungumzia magoli 50.

Haaland anaikaba city, pamoja na ubora wao city mwaka huu walikua na bahati pia. Nina amini city wangekuwa wazuri zaidi kama angekua mtu mwingine ile nafasi ya Haaland. Hata foden au Bernardo wangecheza nafasi ya Haaland, city wangekua bora zaidi ya hapa.

Haitachukua muda mrefu Haaland kuchemka city na kuondoka. Haaland hatafanya vizuri sana city, ataondoka ndani ya misimu miwili ijayo

View attachment 2657407
Sema nini kama umeangalia game nyingi za Manchester City, Bernado na Grealish walikuwa wanakaba hatari na walikuwa na speed ya kurecover ball mapema sana na kuusambaza.
Alvarez ndo anaweza fanya pressing sana ila sasa kwaw upande wa finishing sio hatari kama Haaland. Haaland anajua kujiposition vizuri kama Ronaldo Cristiano wa mwaka 2016-2018 na hana mambo mengi akiwa na mpira.
 
Back
Top Bottom