YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
niki wa pili hujui mpira wewe mshabikie mama tu
Shem sio Nikk huyu [emoji23]
Utafanya uniongezee idadi ya wake wenza jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niki wa pili hujui mpira wewe mshabikie mama tu
LukakuuuNaukuunga mkono mtoa mada huyu jamaa kinachombeba ni watu wanaomzunguka man city anacreate nafasi nyingi za kufunga hata uwe lukaku huwezi kosa goli 25 kwa msinu
Jf imevamiwa na queers, wanatamani wanaume wenzao. Wamekazania Nick nick nickShem sio Nick huyu [emoji23]
Utafanya uniongezee idadi ya wake wenza jamani
Jf imevamiwa na queers, wanatamani wanaume wenzao. Wamekazania Nick nick nick
Mwambie haaland ni robot🤖🤖 labda atakuelewaNdio kaanza msimu wa kwanza kawa top scorer. Yani kaadapt mapema Sana. Kama halijui goli huo utoo scorer kaupataje?. Punguza negativity. Mtu kaanza kutisha akiwa salburg, mpaka Dortmund wewe unadai hajui goli?. Unataka afunge magoli mia?
Umeanza kuangalia mpira lini mkuu baada ya halland kusajiliwa Man City au😂 Pole sana aiseeHaland bila KDB Kibu Denga ana afadhali.
Ninaposema KDB maana yake mtu wa kumlisha mipira bila hivyo dogo hamna kitu muleUmeanza kuangalia mpira lini mkuu baada ya halland kusajiliwa Man City au[emoji23] Pole sana aisee