Haaland ni tatizo Man City atachemsha ataondoka

Haaland ni tatizo Man City atachemsha ataondoka

Ndio kaanza msimu wa kwanza kawa top scorer. Yani kaadapt mapema Sana. Kama halijui goli huo utoo scorer kaupataje?. Punguza negativity. Mtu kaanza kutisha akiwa salburg, mpaka Dortmund wewe unadai hajui goli?. Unataka afunge magoli mia?
Mwambie haaland ni robot🤖🤖 labda atakuelewa
 
Ata hii game yao ya juzi na inter haaland alifichwa kabisa hakuonekana. Mpk nilihisi labda mwamba yuko bench ataingia kipindi cha pili kumbe yumo ndani.
 
Back
Top Bottom