Haaland ni tatizo Man City atachemsha ataondoka

Ujuaji mwingi takwimu za Halaand kila alipo pita zinaongea kazi yake ni kufunga anaitimiza ulitaka afanye nini
2017–2019

Molde
39
(14)
2019–2020
Red Bull Salzburg
16
(17)
2020–2022
Borussia Dortmund
67
(62)
2022–
Manchester City
35
(36)
Nitajie mchezaji mwenye huo uwezo
 
Mtu aliyevunja rekodi ya magoli hafai. Sasa City walikuwa wanahitaji mtu wa aina gani ili kushinda makombe km Siyo mfungaji mzuri.

Hao wengine wa kufunga magoli 50 Ni kina nani. Akina Foden msimu wa Jana hawakuwepo City?

Wabongo pasua kichwa Sana.
 
Mtu aliyevunja rekodi ya magoli hafai. Sasa City walikuwa wanahitaji mtu wa aina gani ili kushinda makombe km Siyo mfungaji mzuri.

Hao wengine wa kufunga magoli 50 Ni kina nani. Akina Foden msimu wa Jana hawakuwepo City?

Wabongo pasua kichwa Sana.
Wajuaji wa kila kitu halafu kumbe hata hicho wanachodhani wanakijua hawakijui
Jamaa alikua RB Salzburg ya Austria,akawasha moto
Akaenda Borrusia Dortmund,katimba sana
Kaja city anatimba
Anakuja mbwiga mmoja anakuambia sio mchezaji mzuri
Kina Jesus wamekaa hapo city wakiwa na hao hao kina KDB lkn hata goli 25 hawakufikisha
Wabongo jau sana
 
Mtu akishiba makande huko mbio kufungua uzi
 
Kuna watu humu hawajawahi cheza mpira,mpira hawaujui,chuki zimewajaa,team zao zinastraika ungaunga,team hazina hela..
Halafu wamevimbiwa kande sijui mihogo wanakuja kulitabiri jini(haaland) eti lita flop..
Utalia sana..

CITIZEN`S
 
Soka najua vizuri mno, nimelicheza, nimefatilia na nafatilia kila kitu. Hakuna kitu kwenye soka utaniongea, I'm better kuliko wachambuzi wengi unaowajua

Muongo hata chandimu walikuwa hawakupi namba, kazi yako ilikuwa kuokota mpira [emoji12]

Tutajie hata kombe la mbuzi moja ulilowai kushiriki??
 
Haaland kaanza kufunga akiwa Salzburg mpaka Dortmund, wewe unasema hajui kucheza. Mtu kavunja rekodi ya Andy Cole ya miaka mingi wewe unadai hajui kucheza, Basi City wasajili jini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…