chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Naukuunga mkono mtoa mada huyu jamaa kinachombeba ni watu wanaomzunguka man city anacreate nafasi nyingi za kufunga hata uwe lukaku huwezi kosa goli 25 kwa msinu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujuaji mwingi takwimu za Halaand kila alipo pita zinaongea kazi yake ni kufunga anaitimiza ulitaka afanye niniUnpopular opinions
Wengi wanaamini Haaland ni mchezaji mzuri sana, ni forward hatari sana. lakini napenda kuwaambia haaland ni mzigo mzito ndani ya man city
City wakiwa na haaland mbele wanakuwa pungufu tayari, sahau kuhusu magoli yake 36 ambapo kama angekua ni mzuri zaidi basi tungekua tunazungumzia magoli 50.
Haaland anaikaba city, pamoja na ubora wao city mwaka huu walikua na bahati pia. Nina amini city wangekuwa wazuri zaidi kama angekua mtu mwingine ile nafasi ya Haaland. Hata foden au Bernardo wangecheza nafasi ya Haaland, city wangekua bora zaidi ya hapa.
Haitachukua muda mrefu Haaland kuchemka city na kuondoka. Haaland hatafanya vizuri sana city, ataondoka ndani ya misimu miwili ijayo
View attachment 2657407
Mtu aliyevunja rekodi ya magoli hafai. Sasa City walikuwa wanahitaji mtu wa aina gani ili kushinda makombe km Siyo mfungaji mzuri.Unpopular opinions
Wengi wanaamini Haaland ni mchezaji mzuri sana, ni forward hatari sana. lakini napenda kuwaambia haaland ni mzigo mzito ndani ya man city
City wakiwa na haaland mbele wanakuwa pungufu tayari, sahau kuhusu magoli yake 36 ambapo kama angekua ni mzuri zaidi basi tungekua tunazungumzia magoli 50.
Haaland anaikaba city, pamoja na ubora wao city mwaka huu walikua na bahati pia. Nina amini city wangekuwa wazuri zaidi kama angekua mtu mwingine ile nafasi ya Haaland. Hata foden au Bernardo wangecheza nafasi ya Haaland, city wangekua bora zaidi ya hapa.
Haitachukua muda mrefu Haaland kuchemka city na kuondoka. Haaland hatafanya vizuri sana city, ataondoka ndani ya misimu miwili ijayo
View attachment 2657407
Kumbuka alianzia kufunga borrusia, na mfumo wa kiuchezaji ulikuwa tofauti pia.Hata sio finisher mzuri. Nimemfatilia sana, chances anazopata ndio nyingi
Wajuaji wa kila kitu halafu kumbe hata hicho wanachodhani wanakijua hawakijuiMtu aliyevunja rekodi ya magoli hafai. Sasa City walikuwa wanahitaji mtu wa aina gani ili kushinda makombe km Siyo mfungaji mzuri.
Hao wengine wa kufunga magoli 50 Ni kina nani. Akina Foden msimu wa Jana hawakuwepo City?
Wabongo pasua kichwa Sana.
Mtu akishiba makande huko mbio kufungua uziWajuaji wa kila kitu halafu kumbe hata hicho wanachodhani wanakijua hawakijui
Jamaa alikua RB Salzburg ya Austria,akawasha moto
Akaenda Borrusia Dortmund,katimba sana
Kaja city anatimba
Anakuja mbwiga mmoja anakuambia sio mchezaji mzuri
Kina Jesus wamekaa hapo city wakiwa na hao hao kina KDB lkn hata goli 25 hawakufikisha
Wabongo jau sana
Mpira inamiliki team au anamiliki haaland...Analijua goli ila uwezo wake wa kumiliki mpira upo chini
Mtasema yoteJamaa ni finisher mzuri Ila sio ball controller , anafunga endapo timu ikiwa everything going well na hasa katika mazingira ya counter attack , timu ikibanwa wanaoiokoa mara nyingi ni attacking midfielder... , angalia champions League mara ya mwisho kuscore ni kwenye 16 Bora sjui..
Soka najua vizuri mno, nimelicheza, nimefatilia na nafatilia kila kitu. Hakuna kitu kwenye soka utaniongea, I'm better kuliko wachambuzi wengi unaowajua
Mnapendeza na tunapenda muwe 1Muongo hata chandimu walikuwa hawakupi namba, kazi yako ilikuwa kuokota mpira [emoji12]
Tutajie hata kombe la mbuzi moja ulilowai kushiriki??
Mnapendeza na tunapenda muwe 1
Mwanetu jentloman“Shem km shem” tatizo jamaa yako pasua kichwa
Mwanetu jentloman
Haaland kaanza kufunga akiwa Salzburg mpaka Dortmund, wewe unasema hajui kucheza. Mtu kavunja rekodi ya Andy Cole ya miaka mingi wewe unadai hajui kucheza, Basi City wasajili jini.Unpopular opinions; Wengi wanaamini Haaland ni mchezaji mzuri sana, ni forward hatari sana, lakini napenda kuwaambia Haaland ni mzigo mzito ndani ya Man City.
City wakiwa na Haaland mbele wanakuwa pungufu tayari, sahau kuhusu magoli yake 36 ambapo kama angekua ni mzuri zaidi basi tungekua tunazungumzia magoli 50.
Haaland anaikaba City, pamoja na ubora wao City mwaka huu walikua na bahati pia. Nina imini City wangekuwa wazuri zaidi kama angekuwa mtu mwingine ile nafasi ya Haaland. Hata Foden au Bernardo wangecheza nafasi ya Haaland, City wangekua bora zaidi ya hapa.
Haitachukua muda mrefu Haaland kuchemka City na kuondoka. Haaland hatafanya vizuri sana City, ataondoka ndani ya misimu miwili ijayo.
View attachment 2657407