Haaland ni tatizo Man City atachemsha ataondoka

Hata goli halijui kihivyo. Siamini kama atakaa city muda mrefu, watamsepesha
Ndio kaanza msimu wa kwanza kawa top scorer. Yani kaadapt mapema Sana. Kama halijui goli huo utoo scorer kaupataje?. Punguza negativity. Mtu kaanza kutisha akiwa salburg, mpaka Dortmund wewe unadai hajui goli?. Unataka afunge magoli mia?
 
Hata sio finisher mzuri. Nimemfatilia sana, chances anazopata ndio nyingi
Hizo chances mastriker wengine waliotangulia walishindwaje kuzipata. Ingekuwa Haaland kaja kuamkia City ningekubliana na wewe, lakini jamaa kaanza kufunga akiwa na timu zingine kabla ya city. Tatizo ukishakuwa juu, haters hawakosi.
 
Naukuunga mkono mtoa mada huyu jamaa kinachombeba ni watu wanaomzunguka man city anacreate nafasi nyingi za kufunga hata uwe lukaku huwezi kosa goli 25 kwa msinu
So kuanzia Salzburg na Dortmund alikuwa anazungukwa na akina bernado Silva?. Mnavyoongea Ni Kama Haaland kaanza uhatari wake City. Haaland angecheza timu yeyote bado angekuwa hatari Kama alivyokuwa Dortmund.
 
Haland bila KDB Kibu Denga ana afadhali.
 
Kajisaidie ukalale
 
niki wa pili hujui mpira wewe mshabikie mama tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…