HAARP mfumo wa Marekani uliosababisha tetemeko la ardhi Uturuki na Syria

Marekani nchi ya hovyo sana


Ingawaje tetemo la ardhi ni asili
 
Basi Marekani ni Taifa hatarishi mno kwa mataifa mengine"

Lakini pia ndo dunia ijue kuwa Marekani si cha mtoto! Ikiwa tekinolijia yao imefikia huko!

Tubakini na ubishani wa hapahapa jf kutaka kuaminisha wehu eti urusi naye ni mkuu wa dunia!
 
Mkazania dini bajeti kubwa yametokea mahafa mkashindwa kujisaidia kwa bajeti yenu.
Mnakuja kusingizia watu.
Kesho mtasikia maajabu ya Allah msikiti ujaanguka,sijui siku 13 yupo mzima takibiriiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…