Haba na haba hujaza kibaba, ni msemo niliyoutumia kwa kinyume kwa mafanikio makubwa sana

Haba na haba hujaza kibaba, ni msemo niliyoutumia kwa kinyume kwa mafanikio makubwa sana

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Suala hili si la kifalsafa hata kidogo, ni suala la uhalisia wa moja kwa moja.

Mfano ukiambiwa mtu mwenye kilo 50 anaweza kuinua mzigo wa tani 50, kwa akili za haraka haraka utabisha, lakini kwa kutumia ‘jeki’, mtu huyu anatumia nguvu zake zile zile, ila tu anazitoa kidogo kidogo hadi ile tani 50 inainuka hadi juu kabisa, tena bila maumivu makali.

Sasa tufikirie kwa kinyume chake. Tumia hii kanuni in reverse, na ukiweza, basi umetoboa...
 
Back
Top Bottom