Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source ni nini!?.. maana naangalia CNN na al jazeera sijaona hiyoPia ikumbukwe kuwa raisi wa Ukraine amesha maliza muda wake wa uraisi.
Hata hivyo uchaguzi mpya Ukraine haukufanyika kwa sababu ya vita.
Pia Ukraine imeruhusiwa kujiunga na umoja wa ulaya EU kwa kuwa umoja huo sio tishio kwa urusi.
View attachment 3240694
Huwajui wazungu wewe. Na sidhani kama umesikiliza Amka na BBC leo asubuhi. Kukusaidia tu, viongozi wa Ulaya wameahidi kuilinda Ukraine na kukubali ukweli kwamba sasa wanatakiwa kujitegemea zaidi na kuacha kumtegemea Mmarekani.Ulaya imechanganyikiwa baada ya Trump kuegemea kwa Putin.
Vita vitaisha tu muda si mrefu
Uzungu ni UCHAWI unaharibu kila pahala.This is after killing peoples, destroying of good houses and all inferstractures...☹️
Tafuta mtu akutafsirie hiyo kwa sababu madrassat hii lugha inawapiga sana chenga nyie ni ile ya kutoka kulia kwenda kushoto.Ulaya imechanganyikiwa baada ya Trump kuegemea kwa Putin.
Vita vitaisha tu muda si mrefu
Tafuta mtu akutafsirie hiyo kwa sababu madrassat hii lugha inawapiga sana chenga nyie ni ile ya kutoka kulia kwenda kushoto.
![]()
Trump Opens Door to Europe Buying US-Made Weapons for Ukraine - Bloomberg
[Trump Opens Door to Europe Buying US-Made Weapons for Ukraine - Bloomberg] is good,have a look at it!uc.xyz
Putin akili kubwa mzee Baba mvute jinga Zalensky kashapagawa na Tramp anataka 50% chongo nae kashatepeta na West!!!!Pia ikumbukwe kuwa raisi wa Ukraine amesha maliza muda wake wa uraisi.
Hata hivyo uchaguzi mpya Ukraine haukufanyika kwa sababu ya vita.
Pia Ukraine imeruhusiwa kujiunga na umoja wa ulaya EU kwa kuwa umoja huo sio tishio kwa urusi.
View attachment 3240694
Mwamba unaonekana msomi wa kimataifa.Putin akili kubwa mzee Baba mvute jinga Zalensky kashapagawa na Tramp anataka 50% chongo nae kashatepeta na West!!!!
sasa mlinde Utajili wa Soviet !!! Tramp sisi tunamtaka GAZA
uku alidai mateka wote Waachie kufika jmosi saaa 5 leo J4 atujaona vumbi lake!!!
Shubamit kazoea kuwatisha majilan zake uku GAZA sio Mexico au Colombia!!!! PUTO ww!!!!
Itakua naangalia BBC tofautiBBC news
kwan nan alimvamia mwenzie?Ulaya imechanganyikiwa baada ya Trump kuegemea kwa Putin.
Vita vitaisha tu muda si mrefu
Kitakachofanyika, baada ya miaka 4 kupita, kukiwa na rais mwingine uhusiano utarejeshwa tena. Kinachotumika hapa ni sanaa ya kisiasa tu.Huwajui wazungu wewe. Na sidhani kama umesikiliza Amka na BBC leo asubuhi. Kukusaidia tu, viongozi wa Ulaya wameahidi kuilinda Ukraine na kukubali ukweli kwamba sasa wanatakiwa kujitegemea zaidi na kuacha kumtegemea Mmarekani.
Utaniambia baada ya miaka mitano kama Marekani hajaomba po! By the way, kama uliishasoma kitu kinaitwa "Economy Slump in America" na imeanza kusahasahau, ebu irudie tena kuisoma.