Ula
Ulaya Wana fedha..Tena nyingi ni Russian companies frozen... Ila hawana silaha Kama za USA...Mimi naona kwa maoni yangu...ita vitaisha Ila maneno ya Ukraine yaliyotwaliwa hivi karibuni yatarudiswa Ila Yale ya 2014 Kama rasi ya kremia imeendaHuwajui wazungu wewe. Na sidhani kama umesikiliza Amka na BBC leo asubuhi. Kukusaidia tu, viongozi wa Ulaya wameahidi kuilinda Ukraine na kukubali ukweli kwamba sasa wanatakiwa kujitegemea zaidi na kuacha kumtegemea Mmarekani.
Utaniambia baada ya miaka mitano kama Marekani hajaomba po! By the way, kama uliishasoma kitu kinaitwa "Economy Slump in America" na imeanza kusahasahau, ebu irudie tena kuisoma.