Habari kutoka redio mbao

Thank you lakini the elderly bado ana influence ya kuishawishi mishipa wana koromeo kumpitisha malaika? Ninawasiwasi na Mburushi atatumia kete gani kwani kule eneo la korosho kunaonekana ni tishio.
 
Huyu mrudi nyumbani anauzoefu sana na enzaimusi wa immune system ya mwili mzima. Siajabu chai ya siku ile pale ngome na mpesiani ilikuwa ni ya kimkakati zaidi.
Sitashangaa kumuona "Mlamaji" nae akienda kupiga picha ngomeni... Wanasiasa ni shwaini kabisa...
 
Ukijua hili wenzako wanajua lile, hakutegemea kabisa kuwa shingo itakuja kuwa kikwazo kwa mwenye kigoda.
 
Fumbo Kuu la Imani mbona kha?!
 
Thank you lakini the elderly bado ana influence ya kuishawishi mishipa wana koromeo kumpitisha malaika? Ninawasiwasi na Mburushi atatumia kete gani kwani kule eneo la korosho kunaonekana ni tishio.
Kwenye koromeo kuna limshipa moja ni kama lina safirisha damu nyingi sana ( bila kujali ni safi au chafu) kiasi kwamba mishipa mingine inakuwa na msukumo kidogo. Mburushi sio wa kumuamini sana, kwenye utatu hajajivua
 
Thank you lakini the elderly bado ana influence ya kuishawishi mishipa wana koromeo kumpitisha malaika? Ninawasiwasi na Mburushi atatumia kete gani kwani kule eneo la korosho kunaonekana ni tishio.
Kuna immune system ya mwili, kuna strategic plan, immune system inambeba malaika ili kuepuka historia mpya ingawa malaika yeye hana strategic plan yakuimalisha kinga ya mwili, ndio maana eneo la korosho limekuwa tishio kwake, malaika anatambaa na Kiki magogoni (panga pangua) wenzake wanapanga vyema kete zao, hivyo elderly katimba hom lengo kuu ni kuweka mikakati na kuimalisha mishipa ya damu ipeleke mzigo vyema kule unapoitajika ufike bila kizuizi na hili litasukwa vyema pamoja na yule mtu mweupe aliekuwepo kipindi cha kumpokea elderly pale atm ya buku saba Kwa kadi, kuna visible na invisible immune system. Anachofanya malaika ni ku organize invisible system ili influence mambo yaende visible itakuja baadae kupiga debe. Malaika Kwa kweli ni blind in this game anafanya kushauliwa tu,

Back soon.
 
Kwenye koromeo kuna limshipa moja ni kama lina safirisha damu nyingi sana ( bila kujali ni safi au chafu) kiasi kwamba mishipa mingine inakuwa na msukumo kidogo. Mburushi sio wa kumuamini sana, kwenye utatu hajajivua
Elderly atakuwa amepunguza Nguvu kidogo Kwa safari yake ya mahope ataonekana ameyumba kimsimamo ingawa bado ana kete zake, ndani ya mfumo na zingine alizitanguliza kabla hajaingia mwenyewe hivyo atatengeneza ka mfumo ka ku influence Malaika habaki mjengoni,
 
Ni kweli ni mgeni na isingekuwa ugomvi wa bwana handsome na the elderly asingekuwa pale. Malaika anaelewa kuwa anachukiwa sana na ni mwoga wa ballots . Kipindi hiki mpaka ballots ipite kuna atakae tolewa kafara ili malaika atakate.
The elderly anajitahidi kutunza maslahi yake. Hawaoni watoto wa mjini wamepoteza vyote lakini bado wamegangamala.

Na mziki wa Kissu kule nyikani nayo haimpi usingizi. Waliodhani 2020 itakuwa ganda la ndizi wamechelewa.
 
TAFSIRI
baada ya mkuu kujiimarisha na kujihakikishia ngome imara dhidi ya upinzani
Wabaya wa ndani ya Chama wanamsubiri kwenye kura ya maoni
Ni lazima kura ya maoni impitishe muakilishi kugombea uraisi
Hapo kwenye kamati kuu ya Chama
Kuna wanao mtaka muakilishi kutoka maeneo ya korosho (MEMBE)
Ujio wa lowassa, ni kuishauri tume (kamati kuu) mume wa Angela kairuki kugombea Uraisi

Nasubiri mkuu wa kitani, na nguo za zambarau kutoka kwa Malkia SKY ECLAT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malaika anahitaji kujua mbinu za alikotoka the elderly. Lakini tangu akaribishwe kwa chai pale mjengoni watoto wa mjini walimtoa kwenye mikakati.
 
Mkuu mume wa Angela hahusiki hata kidogo.
 
Kwa msio elewa ni kwamba vocal zinatokea wapiiiii, shingoni
 
Mleta mada ni Msabato wala Sishangai
 
Malaika anahitaji kujua mbinu za alikotoka the elderly. Lakini tangu akaribishwe kwa chai pale mjengoni watoto wa mjini walimtoa kwenye mikakati.
Ili angelisoma mapema kama alihitaji mbinu za alikotoka the elderly, alikuwa na option mbili, either angemkaribisha chai mtu mwingine ndani ya chama kile kile au angetafuta mandhari nyingine tofauti anywe chai na elderly, lengo ni ku retain uhusiano wa elderly na watoto wa mjini. Na hili lingemsaidia kipindi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…