janaleonahatakesho
Member
- Jun 12, 2022
- 55
- 119
Wanaziba mbele wakati nyuma kuna matobo sijui akili ya wapi hii ngoja tuone mwisho wa msimuNasema hivi kazi iendeleee. Simba nguvu moja hatutishiki hatubabaiki. Unstoppable nyie malizeni hela kwa kununua watu watakaoenda kulogana maana mnawajaza tuu hpo mbele
endelea tu kutafuta hivyo vi angle, inawezekana utopolo wameanza kujishughulisha na manzoki jana lakini leo impact yao ishaonekana meanwhile tuendelee kusikilizia mipango ya kina magoriElimu ni shida sana,habar ulioinukuu inasema "Yanga read to pay" Ila ww kwenye tafsiri yako ya mchongo unasema "confirmed and case closed" Hatari hiiii sijui unaumia nn kuhus simba
unawaamini tena hao? wanasukumasukuma siku na mzungu huku wakituambia tusikilizie mikimbio ikae sawa...MIMI NAWASHAURI YANGA KAMA KWELI MNATAKA MPIGE PIGO TAKATIFU KWA SIMBA LA KUKUMBUKWA KATIKA HISTORIA MCHUKUENI MANZOKI labda yule dada ataanza kuheshimu wenzake kidogoNgoja tuone magori nae katupa silaha yake hewani
Ni vizuri wapigane misumari na kina mayelle na makambo.Nasema hivi kazi iendeleee. Simba nguvu moja hatutishiki hatubabaiki. Unstoppable nyie malizeni hela kwa kununua watu watakaoenda kulogana maana mnawajaza tuu hpo mbele
he tukikosoa wengine tumekuwa siyo unstoppable kumbe inatakiwa tusifie tu kama ma kasuku?Nasema hivi kazi iendeleee. Simba nguvu moja hatutishiki hatubabaiki. Unstoppable nyie malizeni hela kwa kununua watu watakaoenda kulogana maana mnawajaza tuu hpo mbele
Kwa hiyo na wazungu hawana akili kupandiana dau kubwa wachezaji?Kwa hili naunga mkono uongozi wa Simba. Siwezi walaumu kwa ujinga unaofanywa na Viongozi wa Yanga kushindania kunyang'anya wachezaji for cheap popularity. Ina maana hawana scouts wa kutafuta wachezaji? Wakiona Simba wanamuwania mchezaji na wao wanakatiza! Kupoteza zaidi ya mil.400 kwa ajili ya kukomoa timu nyingine? Huu sio utani nali ni ujinga.
Mwache aende
..Simba ni zaidi ya jina lake.
Dogo acha mhemko tulikosa wachezaji wazuri zaidi ya huyo manzokiunawaamini tena hao? wanasukumasukuma siku na mzungu huku wakituambia tusikilizie mikimbio ikae sawa...MIMI NAWASHAURI YANGA KAMA KWELI MNATAKA MPIGE PIGO TAKATIFU KWA SIMBA LA KUKUMBUKWA KATIKA HISTORIA MCHUKUENI MANZOKI labda yule dada ataanza kuheshimu wenzake kidogo
Tunafunga 2 kwa 1, 3 kwa 2, 4kwa 3, 10 kwa 9 shida iko wapi hapoWanaziba mbele wakati nyuma kuna matobo sijui akili ya wapi hii ngoja tuone mwisho wa msimu
Kwenye hili nadhani halina ukweli Simba haiwezi kuwa kizembe hivyo dili la Manzoki bado ni la Simba, Yanga wametafuta namna tu ya kuvuta attention kubwa ya watu wakitangaza jambo lao kesho ambalo kimsingi 100% sio usajili wa Lobi Manzokihe tukikosoa wengine tumekuwa siyo unstoppable kumbe inatakiwa tusifie tu kama ma kasuku?
Umesahau Simba ilichoifanyia Yanga kipindi hawana Cash? Simba walipindua dili nyingi za Yanga, Muhindi sasa hivi kawa mgumu kutoa pesa ndio maana anasajiri wachezaji wa bei Chee.Kwa hili naunga mkono uongozi wa Simba. Siwezi walaumu kwa ujinga unaofanywa na Viongozi wa Yanga kushindania kunyang'anya wachezaji for cheap popularity. Ina maana hawana scouts wa kutafuta wachezaji? Wakiona Simba wanamuwania mchezaji na wao wanakatiza! Kupoteza zaidi ya mil.400 kwa ajili ya kukomoa timu nyingine? Huu sio utani nali ni ujinga.
Mwache aende
..Simba ni zaidi ya jina lake.
kweli uko sahihi tumpe muda dejan mikimbio yake hatari sana viungo tu hawajamuelewa,unajiona we mjuaji sasa utalinganisha mbuyi twitte na uhitaji wa simba kwa manzoki kwa sasa ?Dogo acha mhemko tulikosa wachezaji wazuri zaidi ya huyo manzoki
Nadhan mpira umejulia juzi fyi tuliporwa mchezaji na uto hapo kwa airport kwa nyerere na maisha yalienda fresh kbsa
Mpe ushauri huo magori basi aache shobo maana na yeye kule instagram anabishana ubishi huu huuuu, au hajui kama tuna washambuliaji wakali kuliko manzoki?Niwapongeze Simba kwa kuendesha team kiuweledi. Uweledi unaguarantee consistence. Kumsajiri mchezaji mwenye mkataba wa miezi 2 kwa hiyo hela sio weledi. Ni kukurupuka. Sitaki kuamini kama Manzoki ni mchezaji bora kuliko wachezaji wote waliopo simba au hata Yanga. By the way yanga wanatumia nguvu sana kuprove wako level moja na Simba lkn ukweli huko palepale.Yanga ni timu ndogo sana kimataifa. Ni sawa na totenham kujilinganisha na Chelsea japo wote ni rivals wa London.
Kuna mahali popote nimemtaja dejankweli uko sahihi tumpe muda dejan mikimbio yake hatari sana viungo tu hawajamuelewa,unajiona we mjuaji sasa utalinganisha mbuyi twitte na uhitaji wa simba kwa manzoki kwa sasa ?
Kwani dejan kalipwa sh ngapi iliyoshindikana kumleta hata Ricky banda wa red arrows ya zambia ?
Kwa hili naunga mkono uongozi wa Simba. Siwezi walaumu kwa ujinga unaofanywa na Viongozi wa Yanga kushindania kunyang'anya wachezaji for cheap popularity. Ina maana hawana scouts wa kutafuta wachezaji? Wakiona Simba wanamuwania mchezaji na wao wanakatiza! Kupoteza zaidi ya mil.400 kwa ajili ya kukomoa timu nyingine? Huu sio utani nali ni ujinga.
Mwache aende
..Simba ni zaidi ya jina lake.
read ndo kusoma?Elimu ni shida sana,habar ulioinukuu inasema "Yanga read to pay" Ila ww kwenye tafsiri yako ya mchongo unasema "confirmed and case closed" Hatari hiiii sijui unaumia nn kuhus simba
Endelea kuota ndoto mchanaNiwapongeze Simba kwa kuendesha team kiuweledi. Uweledi unaguarantee consistence. Kumsajiri mchezaji mwenye mkataba wa miezi 2 kwa hiyo hela sio weledi. Ni kukurupuka. Sitaki kuamini kama Manzoki ni mchezaji bora kuliko wachezaji wote waliopo simba au hata Yanga. By the way yanga wanatumia nguvu sana kuprove wako level moja na Simba lkn ukweli huko palepale.Yanga ni timu ndogo sana kimataifa. Ni sawa na totenham kujilinganisha na Chelsea japo wote ni rivals wa London.