Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

Nasema hivi kazi iendeleee. Simba nguvu moja hatutishiki hatubabaiki. Unstoppable nyie malizeni hela kwa kununua watu watakaoenda kulogana maana mnawajaza tuu hpo mbele
Wanaziba mbele wakati nyuma kuna matobo sijui akili ya wapi hii ngoja tuone mwisho wa msimu
 
Ngoja tuone magori nae katupa silaha yake hewani
 
Attachments

  • 20220818_212538.jpg
    20220818_212538.jpg
    45.5 KB · Views: 5
Elimu ni shida sana,habar ulioinukuu inasema "Yanga read to pay" Ila ww kwenye tafsiri yako ya mchongo unasema "confirmed and case closed" Hatari hiiii sijui unaumia nn kuhus simba
endelea tu kutafuta hivyo vi angle, inawezekana utopolo wameanza kujishughulisha na manzoki jana lakini leo impact yao ishaonekana meanwhile tuendelee kusikilizia mipango ya kina magori
 
Ngoja tuone magori nae katupa silaha yake hewani
unawaamini tena hao? wanasukumasukuma siku na mzungu huku wakituambia tusikilizie mikimbio ikae sawa...MIMI NAWASHAURI YANGA KAMA KWELI MNATAKA MPIGE PIGO TAKATIFU KWA SIMBA LA KUKUMBUKWA KATIKA HISTORIA MCHUKUENI MANZOKI labda yule dada ataanza kuheshimu wenzake kidogo
 
Nasema hivi kazi iendeleee. Simba nguvu moja hatutishiki hatubabaiki. Unstoppable nyie malizeni hela kwa kununua watu watakaoenda kulogana maana mnawajaza tuu hpo mbele
Ni vizuri wapigane misumari na kina mayelle na makambo.
 
Nasema hivi kazi iendeleee. Simba nguvu moja hatutishiki hatubabaiki. Unstoppable nyie malizeni hela kwa kununua watu watakaoenda kulogana maana mnawajaza tuu hpo mbele
he tukikosoa wengine tumekuwa siyo unstoppable kumbe inatakiwa tusifie tu kama ma kasuku?
 
Kwa hili naunga mkono uongozi wa Simba. Siwezi walaumu kwa ujinga unaofanywa na Viongozi wa Yanga kushindania kunyang'anya wachezaji for cheap popularity. Ina maana hawana scouts wa kutafuta wachezaji? Wakiona Simba wanamuwania mchezaji na wao wanakatiza! Kupoteza zaidi ya mil.400 kwa ajili ya kukomoa timu nyingine? Huu sio utani nali ni ujinga.

Mwache aende
..Simba ni zaidi ya jina lake.
Kwa hiyo na wazungu hawana akili kupandiana dau kubwa wachezaji?
Ukiwa huna ela ukimuona tajiri kala wali kaacha vipunjepunje unalalamika ana matumizi mabaya ya ela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
unawaamini tena hao? wanasukumasukuma siku na mzungu huku wakituambia tusikilizie mikimbio ikae sawa...MIMI NAWASHAURI YANGA KAMA KWELI MNATAKA MPIGE PIGO TAKATIFU KWA SIMBA LA KUKUMBUKWA KATIKA HISTORIA MCHUKUENI MANZOKI labda yule dada ataanza kuheshimu wenzake kidogo
Dogo acha mhemko tulikosa wachezaji wazuri zaidi ya huyo manzoki
Nadhan mpira umejulia juzi fyi tuliporwa mchezaji na uto hapo kwa airport kwa nyerere na maisha yalienda fresh kbsa
 
Niwapongeze Simba kwa kuendesha team kiuweledi. Uweledi unaguarantee consistence. Kumsajiri mchezaji mwenye mkataba wa miezi 2 kwa hiyo hela sio weledi. Ni kukurupuka. Sitaki kuamini kama Manzoki ni mchezaji bora kuliko wachezaji wote waliopo simba au hata Yanga. By the way yanga wanatumia nguvu sana kuprove wako level moja na Simba lkn ukweli huko palepale.Yanga ni timu ndogo sana kimataifa. Ni sawa na totenham kujilinganisha na Chelsea japo wote ni rivals wa London.
 
he tukikosoa wengine tumekuwa siyo unstoppable kumbe inatakiwa tusifie tu kama ma kasuku?
Kwenye hili nadhani halina ukweli Simba haiwezi kuwa kizembe hivyo dili la Manzoki bado ni la Simba, Yanga wametafuta namna tu ya kuvuta attention kubwa ya watu wakitangaza jambo lao kesho ambalo kimsingi 100% sio usajili wa Lobi Manzoki

NB:Ikitokea ni kweli Yanga wakamtangaza Manzoki basi nitaudharau sana huu uongozi wa Simba chini ya Barbra na Try Again na itakuwa ni aibu kwa kila mwanasimba
 
Kwa hili naunga mkono uongozi wa Simba. Siwezi walaumu kwa ujinga unaofanywa na Viongozi wa Yanga kushindania kunyang'anya wachezaji for cheap popularity. Ina maana hawana scouts wa kutafuta wachezaji? Wakiona Simba wanamuwania mchezaji na wao wanakatiza! Kupoteza zaidi ya mil.400 kwa ajili ya kukomoa timu nyingine? Huu sio utani nali ni ujinga.

Mwache aende
..Simba ni zaidi ya jina lake.
Umesahau Simba ilichoifanyia Yanga kipindi hawana Cash? Simba walipindua dili nyingi za Yanga, Muhindi sasa hivi kawa mgumu kutoa pesa ndio maana anasajiri wachezaji wa bei Chee.
 
Dogo acha mhemko tulikosa wachezaji wazuri zaidi ya huyo manzoki
Nadhan mpira umejulia juzi fyi tuliporwa mchezaji na uto hapo kwa airport kwa nyerere na maisha yalienda fresh kbsa
kweli uko sahihi tumpe muda dejan mikimbio yake hatari sana viungo tu hawajamuelewa,unajiona we mjuaji sasa utalinganisha mbuyi twitte na uhitaji wa simba kwa manzoki kwa sasa ?
Kwani dejan kalipwa sh ngapi iliyoshindikana kumleta hata Ricky banda wa red arrows ya zambia ?
 
Niwapongeze Simba kwa kuendesha team kiuweledi. Uweledi unaguarantee consistence. Kumsajiri mchezaji mwenye mkataba wa miezi 2 kwa hiyo hela sio weledi. Ni kukurupuka. Sitaki kuamini kama Manzoki ni mchezaji bora kuliko wachezaji wote waliopo simba au hata Yanga. By the way yanga wanatumia nguvu sana kuprove wako level moja na Simba lkn ukweli huko palepale.Yanga ni timu ndogo sana kimataifa. Ni sawa na totenham kujilinganisha na Chelsea japo wote ni rivals wa London.
Mpe ushauri huo magori basi aache shobo maana na yeye kule instagram anabishana ubishi huu huuuu, au hajui kama tuna washambuliaji wakali kuliko manzoki?
 
kweli uko sahihi tumpe muda dejan mikimbio yake hatari sana viungo tu hawajamuelewa,unajiona we mjuaji sasa utalinganisha mbuyi twitte na uhitaji wa simba kwa manzoki kwa sasa ?
Kwani dejan kalipwa sh ngapi iliyoshindikana kumleta hata Ricky banda wa red arrows ya zambia ?
Kuna mahali popote nimemtaja dejan
Umejaa sana upepo dogo lala kwanza subiri kesho kukuchwe
Halafu kuna kitu ambacho hamkijui wengi wachambuzi/pundit wengi wa nje wanajua watz ni hoya hoya sana mnaletewa tetesi basi mnataka kufa
 
Endeleeni kujidanganya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa hili naunga mkono uongozi wa Simba. Siwezi walaumu kwa ujinga unaofanywa na Viongozi wa Yanga kushindania kunyang'anya wachezaji for cheap popularity. Ina maana hawana scouts wa kutafuta wachezaji? Wakiona Simba wanamuwania mchezaji na wao wanakatiza! Kupoteza zaidi ya mil.400 kwa ajili ya kukomoa timu nyingine? Huu sio utani nali ni ujinga.

Mwache aende
..Simba ni zaidi ya jina lake.
Elimu ni shida sana,habar ulioinukuu inasema "Yanga read to pay" Ila ww kwenye tafsiri yako ya mchongo unasema "confirmed and case closed" Hatari hiiii sijui unaumia nn kuhus simba
read ndo kusoma?
 
Niwapongeze Simba kwa kuendesha team kiuweledi. Uweledi unaguarantee consistence. Kumsajiri mchezaji mwenye mkataba wa miezi 2 kwa hiyo hela sio weledi. Ni kukurupuka. Sitaki kuamini kama Manzoki ni mchezaji bora kuliko wachezaji wote waliopo simba au hata Yanga. By the way yanga wanatumia nguvu sana kuprove wako level moja na Simba lkn ukweli huko palepale.Yanga ni timu ndogo sana kimataifa. Ni sawa na totenham kujilinganisha na Chelsea japo wote ni rivals wa London.
Endelea kuota ndoto mchana
 
Back
Top Bottom