na nyie na wahindi wenu mabilion malizeni kwenye kuloga. Maana timu hamna kitu.Nasema hivi kazi iendeleee. Simba nguvu moja hatutishiki hatubabaiki. Unstoppable nyie malizeni hela kwa kununua watu watakaoenda kulogana maana mnawajaza tuu hpo mbele
Hivi nyie wale wenu ni waarabu eee. Basi kazi iendeleena nyie na wahindi wenu mabilion malizeni kwenye kuloga. Maana timu hamna kitu.
Msitupange bwana tushachoka, maboya yanazinduka sasaKuna mahali popote nimemtaja dejan
Umejaa sana upepo dogo lala kwanza subiri kesho kukuchwe
Halafu kuna kitu ambacho hamkijui wengi wachambuzi/pundit wengi wa nje wanajua watz ni hoya hoya sana mnaletewa tetesi basi mnataka kufa
Elimu ni shida sana,habar ulioinukuu inasema "Yanga read to pay" Ila ww kwenye tafsiri yako ya mchongo unasema "confirmed and case closed" Hatari hiiii sijui unaumia nn kuhus simba
yanga haina divisions za management,kama ceo,scouts,managers,,mtu mmoja ndo mambo yote huyohuyo,wanavizia mascout wa simba wafanye kazi,wao wamwage hela bila hesabu...subiri waishie makundi ndio watatia akili..Kwa hili naunga mkono uongozi wa Simba. Siwezi walaumu kwa ujinga unaofanywa na Viongozi wa Yanga kushindania kunyang'anya wachezaji for cheap popularity. Ina maana hawana scouts wa kutafuta wachezaji? Wakiona Simba wanamuwania mchezaji na wao wanakatiza! Kupoteza zaidi ya mil.400 kwa ajili ya kukomoa timu nyingine? Huu sio utani nali ni ujinga.
Mwache aende
..Simba ni zaidi ya jina lake.
Yanga hawezi kutaka ku prove yupo level na simba, hapa tunaongelea timu mbili ziliopishana sana...simba hana level, hana maana, hana kombe, hana wachezaji wa kumfananisha na yanga...simba inapumua kwa sababu yanga inapambanishwa, ila ni koloni la muhindi kushnei [emoji23][emoji23]Niwapongeze Simba kwa kuendesha team kiuweledi. Uweledi unaguarantee consistence. Kumsajiri mchezaji mwenye mkataba wa miezi 2 kwa hiyo hela sio weledi. Ni kukurupuka. Sitaki kuamini kama Manzoki ni mchezaji bora kuliko wachezaji wote waliopo simba au hata Yanga. By the way yanga wanatumia nguvu sana kuprove wako level moja na Simba lkn ukweli huko palepale.Yanga ni timu ndogo sana kimataifa. Ni sawa na totenham kujilinganisha na Chelsea japo wote ni rivals wa London.
Tulia mafia wa soka tz wako msimbazi tuMsitupange bwana tushachoka, maboya yanazinduka sasa
Ila wewe jamaa unajua kuwachezesha kiduku nnya Sports Club,wamejaa wazima wazima kwenye fremu yakoendelea tu kutafuta hivyo vi angle, inawezekana utopolo wameanza kujishughulisha na manzoki jana lakini leo impact yao ishaonekana meanwhile tuendelee kusikilizia mipango ya kina magori
Wow
Yanga taku [emoji8][emoji8]
Simba ndio scouts wetu wanatufanyia kazi isiyo na malipoYanga kweli ni vimburuti, wakiona Simba wanamtaka mchezaji flani watafanya fitina simba imkose huyo mchezaji au wapandishe dau na kumchukua wao. Hivi hawana scouts?