Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

Nasema hivi kazi iendeleee. Simba nguvu moja hatutishiki hatubabaiki. Unstoppable nyie malizeni hela kwa kununua watu watakaoenda kulogana maana mnawajaza tuu hpo mbele
na nyie na wahindi wenu mabilion malizeni kwenye kuloga. Maana timu hamna kitu.
 
Kuna mahali popote nimemtaja dejan
Umejaa sana upepo dogo lala kwanza subiri kesho kukuchwe
Halafu kuna kitu ambacho hamkijui wengi wachambuzi/pundit wengi wa nje wanajua watz ni hoya hoya sana mnaletewa tetesi basi mnataka kufa
Msitupange bwana tushachoka, maboya yanazinduka sasa
 
Yanga nao waache tamaaa, manzoki anakuja kucheza namba ya nani??? Mwisho wa siku waanze kurogana na kui cost team nzima
 
Polo Kolo mwenye maisha magumu hapa mjini na JF pia🤔😂😂
Elimu ni shida sana,habar ulioinukuu inasema "Yanga read to pay" Ila ww kwenye tafsiri yako ya mchongo unasema "confirmed and case closed" Hatari hiiii sijui unaumia nn kuhus simba
 
Kwa hili naunga mkono uongozi wa Simba. Siwezi walaumu kwa ujinga unaofanywa na Viongozi wa Yanga kushindania kunyang'anya wachezaji for cheap popularity. Ina maana hawana scouts wa kutafuta wachezaji? Wakiona Simba wanamuwania mchezaji na wao wanakatiza! Kupoteza zaidi ya mil.400 kwa ajili ya kukomoa timu nyingine? Huu sio utani nali ni ujinga.

Mwache aende
..Simba ni zaidi ya jina lake.
yanga haina divisions za management,kama ceo,scouts,managers,,mtu mmoja ndo mambo yote huyohuyo,wanavizia mascout wa simba wafanye kazi,wao wamwage hela bila hesabu...subiri waishie makundi ndio watatia akili..
 
Niwapongeze Simba kwa kuendesha team kiuweledi. Uweledi unaguarantee consistence. Kumsajiri mchezaji mwenye mkataba wa miezi 2 kwa hiyo hela sio weledi. Ni kukurupuka. Sitaki kuamini kama Manzoki ni mchezaji bora kuliko wachezaji wote waliopo simba au hata Yanga. By the way yanga wanatumia nguvu sana kuprove wako level moja na Simba lkn ukweli huko palepale.Yanga ni timu ndogo sana kimataifa. Ni sawa na totenham kujilinganisha na Chelsea japo wote ni rivals wa London.
Yanga hawezi kutaka ku prove yupo level na simba, hapa tunaongelea timu mbili ziliopishana sana...simba hana level, hana maana, hana kombe, hana wachezaji wa kumfananisha na yanga...simba inapumua kwa sababu yanga inapambanishwa, ila ni koloni la muhindi kushnei [emoji23][emoji23]
 
Yanga kweli ni vimburuti, wakiona Simba wanamtaka mchezaji flani watafanya fitina simba imkose huyo mchezaji au wapandishe dau na kumchukua wao. Hivi hawana scouts?
 
[emoji23]
IMG-20220818-WA1411.jpg
 
Kwanza nimeanza kuwa na mashaka na hizi tetesi zinaweza kuwa ni fix tu

Kama chanzo ndio huyo mchambuzi basi hii kwangu naiona iko mbali sana na ukweli

Huyo mchambuzi ni kama privaldinho au jemedari ambao wanaweza wakatoa maoni kulingana na trend na sio kutoka kwenye vyanzo vya ndani
 
endelea tu kutafuta hivyo vi angle, inawezekana utopolo wameanza kujishughulisha na manzoki jana lakini leo impact yao ishaonekana meanwhile tuendelee kusikilizia mipango ya kina magori
Ila wewe jamaa unajua kuwachezesha kiduku nnya Sports Club,wamejaa wazima wazima kwenye fremu yako

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Lobi akienda utopoloni niiteni mbwa nimekaa pale nakula kashata...HIVI MNAJUA MAANA YA PRE CONTRACT OK NDO HIYO HIYO ILIWASHINDA UTOPOLO KWA PHIRI WATU WALIMFUNGIA SAFARI HADI ZAMBIA ILA WAAAAAAPI?...

Tunawajua kuwa mnapenda kufata fata mawindo ya simba coz nyie ni fisi msioweza kuwinda kivyenu,nyie bakini na kina kambole na nani sjui yule!!![emoji12]
 
Yanga kweli ni vimburuti, wakiona Simba wanamtaka mchezaji flani watafanya fitina simba imkose huyo mchezaji au wapandishe dau na kumchukua wao. Hivi hawana scouts?
Simba ndio scouts wetu wanatufanyia kazi isiyo na malipo
 
Back
Top Bottom