Mnunuzi ataifanyia nini?Mwanasiasa mmoja kutoka Tokyo Japan, amenunua bikira ya mwanamitindo Mahbuba Mammadzada wa huko Azerbaijan kwa paundi million 2 ambazo ni zaidi ya billion 6.1 za Kitanzania. Mwanamitindo huyo alitangaza kuiuza bikira yake kwa mtu atakayefika dau kubwa zaidi ili kumfurahisha mama yake, na pesa zake wazitumie kutembea duniani.View attachment 1031056
Tuanze na najinsia ya huyo mwana siasa mnunuzi ni me au ke?Wewe ni ME au KE?
nawewe ni me au ke.?Wewe ni ME au KE?