Habari kwa Picha

Habari kwa Picha

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
#FAHAMU Nchini Thailand unaweza kufanyiwa "massage" na tembo. Je, wewe ungekuwa tayari?
51016107_976502649211584_5783446276394346879_n.jpg
 
#BRAKINGNEWS : Watu tisa ambao ni wataalam wa Idara ya Ardhi wamefariki dunia baada ya gari aina ya Land Cruiser walilokuwa wakisafiria kumshinda nguvu dereva na kutumbukia mtoni wilayani Kilombero mkoani Morogoro. Mkuu wa wilaya ya Kilombero James Ihunyo amethibitisha na kusema gari hiyo ilikuwa na watu 13 ambapo 9 ndio wamefariki huku waliojeruhiwa wamepelekwa katika Hospitali ya St.Francis kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
51617118_216237722580957_3832650596566445741_n.jpg
 
Uongozi wa 'Empire' umemtema muigizaji wake Jussie Smollett (Jamal) baada ya kugundulika alitengeneza tukio la kushambulliwa ili kupata huruma ya watu, baada ya kuona analipwa pesa ndogo kwenye series ya Empire
51427991_956322857904218_5312426286124659226_n.jpg
 
BREAKING NEWS: Leicester City imemtimua kocha wake, Claude Puel kufuatia matokeo mabovu tangu kuanza kwa mwaka 2019. Tangu Januari mwaka huu, Leicester City haijashinda mchezo wowote wa ligi.
52360295_118074015955359_5406717476253664382_n.jpg
 
Aisha wa Mambo hayo actress mkongwe aliyechochea maendeleo ya tasnia ya sanaa ya uigizaji Tanzania awafumua waandaaji wa Tuzo Za Sinema Zetu kwa kusema.... . . "Nimetoka kuangalia sinema zetu! Nilibahatika kuiona kidogo Filamu ya kesho! Msema kweli mpenzi wa Mungu watoto walioshinda kwenye uigizaji bado kabisa! Wanajikanyaga mno! Bado hawajakomaa kabisaa!! Kwenye uchezaji!! Hata mai zumo ni bora Mara Mia! Kuwapa ushindi dhidi ya wema, Monalisa, gabo , johari, phd na wengine ? sijui ni vigezo vipi wametumia! Kama ni kura tu ni kura zipi zilizopigwa kuwazidi wakongwe waliokuwa wanapigiwa usiku na mchana? Je hawa watoto wapo nyuma ya Nani? Nani kafanya hili deal litiki? Mimi ile naiita Aibu ya mwaka! Ni Aibu kubwa sana sana kwenye tunzo za sinema zetu! Yaani uigizaji ule ndio uwafanye wewe bora? Wenzetu wa Kenya, Uganda, nigeria wakibahatika kuiona filam ya kesho na kuwaona wale watoto wanavyoigiza eti ndio waigizaji bora si Aibu hii jamani? Hiki ni kichekesho kilichopitiliza kwa kweli! (hayo ni mawazo yangu tu mhenga Mimi)😤😤😤😤😤nimeudhika mpaka nimetoa povu Leo!"
51179029_2081825691898386_5627698687417631896_n.jpg
 
Mwanasiasa mmoja kutoka Tokyo Japan, amenunua bikira ya mwanamitindo Mahbuba Mammadzada wa huko Azerbaijan kwa paundi million 2 ambazo ni zaidi ya billion 6.1 za Kitanzania. Mwanamitindo huyo alitangaza kuiuza bikira yake kwa mtu atakayefika dau kubwa zaidi ili kumfurahisha mama yake, na pesa zake wazitumie kutembea duniani.
51576073_401274787100045_8954957913528064429_n.jpg
 
Mwanasiasa mmoja kutoka Tokyo Japan, amenunua bikira ya mwanamitindo Mahbuba Mammadzada wa huko Azerbaijan kwa paundi million 2 ambazo ni zaidi ya billion 6.1 za Kitanzania. Mwanamitindo huyo alitangaza kuiuza bikira yake kwa mtu atakayefika dau kubwa zaidi ili kumfurahisha mama yake, na pesa zake wazitumie kutembea duniani.View attachment 1031056
Mnunuzi ataifanyia nini?
 
Mkuu, mbona ni kama vile huyo tembo anamnyonya huyo mdada shingoni...!!??[emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom