Habari kwa Picha

Habari kwa Picha

Sababu Zinazopelekea Mashabiki kumkataa Boy Friend Mpya wa Nicki Minaj. - Kenneth Petty yupo kwenye orodha ya watu hatari zaidi waliotenda makosa ya Kingono 'Level two registered sex offender' mjini New York, Polisi wanaimani ni mtu atakaye fanya makosa hayo tena na atakuwa kwenye hio orodha maisha yake yote. - April 1995 Kenneth Petty alihukumiwa kifungo cha miaka 4 na miezi mitano jela kwa kosa la kutaka kufanya ubakaji dhidi ya binti mwenye umri chini ya miaka 16. Muda huo Kenneth alikuwa na miaka 15. - Kenneth alikubali kosa la kuua bila kukusudia baada ya kumpiga risasi Lamont Robinson mwaka 2002, alitumikia miaka saba jela, mitatu chini ya uangalizi wa polisi na alikuwa mtu huru rasmi May 2018. - Nicki Minaj anamjua Kenneth toka utotoni ndio maana anaimani naye na anamfahamu kuliko mashabiki zake, Aliwahi kujibu kuwa >Watu kwenye Internet hawawezi kuendesha maisha yangu, nyie wenyewe hamuwezi kuendesha maisha yenu
Shout Out to You Numby for ur Xclussivity infotainment,Bless
 
Mwenyekiti wa CHADEMA akisalimiana na ASKARI
 
Attachments

  • 1552553387156.png
    1552553387156.png
    157.3 KB · Views: 74
Cristiano Ronaldo amefungua clinic yake mpya ya kupandikiza nywele wanaume na wanawake walio na vipara au matatizo ya kunyonyoka nywele mapema, Pia nyusi na ndevu zitapandikizwa. Amefungua biashara hiyo huko Hispania ambapo gharama mtu kupandikizwa nywele zinatajwa kuanzia €4000 takribani million 10.6 za kibongo . . Ameajiri wataalam 150 ambapo kila siku watu 18 watapandikizwa nywele !. Katika kufungua clinic hiyo ametajwa kutumia €1 million zaidi ya billion 2.6 za kitanzania lakini anapanga kuongeza €25 million Ili kupanua biashara hiyo inayotarajiwa kumpa faida Sababu ya vijana wengi wa sasa kunyonyoka nywele mapema wakiwa bado wanapenda nywele vichwani Mwao !
52942210_126461205100417_4442285705013114351_n.jpg
 
FAHAMU Mustafa Magambo Mutone wa nchini Uganda, mwenye miaka 65 na wake 13, na watoto 176, anaomba msaada wa serikali kumsaidia kusomesha baadhi ya watoto wake.Mustafa anasema kwa sasa wake zake 6 ni wajawazito, watoto 40 wapo shule ya msingi, 10 wapo chuo kikuu cha Makerere kwa msaada wa wafadhili, na ana uwezo wa 'kumudu' kuoa wake wengine zaidi kutokana na kutokunywa pombe na kutovuta sigara.
53419775_572485406578967_3552368536592909825_n.jpg
 
57239242_2129809477132427_6411054273568498179_n.jpg
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini na kumpeleka mjini Nairobi kama mke wake ambapo aliamua kumsomesha mpaka chuo kikuu. Alikuwa akimlipia karo na mahitaji mengine pamoja na kutuma pesa kwa mama mzazi wa binti huyo kama msaada kutokana na familia hiyo kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za maisha. Baada ya kuhitimu masomo yake, Christine alimwambia Patrick kuwa amechoka kuwa naye kwani ni mtu asiyekuwa na hadhi yoyote na hafai kuwa mpenzi wake hivyo ni vyema kila mtu afanye mambo yake. "Nimepata mpenzi mwingine ambaye ananifaa sana pia ni Mkurugenzi wa Kampuni moja kubwa sana jijini Nairobi hivyo siwezi kuwa na wewe Patrick mtu usiyekuwa na future na ni daraja D ambalo ni dhaifu kwangu", alisema Christine. Patrick hakuielewa kauli ya mpenzi wake, akaamua kwenda kijijini kwa mama yake na Christine kuomba msaada wa suluhu ili aweze kumuoa binti yao kwani alikuwa ametumia gharama kubwa mno kumsomesha. Mama yake binti alijibu kuwa hawezi kumpangia mtoto wake mume wa kumuoa hivyo anapaswa aachwe ajiamulie yeye mwenyewe. Patrick hakukubali, akamtafuta dada yake Christine na kumwelezea hali halisi lakini alijibiwa kuwa hana hadhi ya kumiliki mwanamke aliyehitimu Chuo Kikuu hivyo atafute mwanamke wa level ya mgambo kama yeye. Aliondoka na kurudi nyumbani na kuchukua uamuzi mgumu wa kumuita Christine nyumbani kwa lengo la kuongea na kumaliza tofauti zao ili waachane kabisa, binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi. Alifika na kumkuta Patrick amejihami kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo. Nini maoni yako?
 
View attachment 1072281Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini na kumpeleka mjini Nairobi kama mke wake ambapo aliamua kumsomesha mpaka chuo kikuu. Alikuwa akimlipia karo na mahitaji mengine pamoja na kutuma pesa kwa mama mzazi wa binti huyo kama msaada kutokana na familia hiyo kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za maisha. Baada ya kuhitimu masomo yake, Christine alimwambia Patrick kuwa amechoka kuwa naye kwani ni mtu asiyekuwa na hadhi yoyote na hafai kuwa mpenzi wake hivyo ni vyema kila mtu afanye mambo yake. "Nimepata mpenzi mwingine ambaye ananifaa sana pia ni Mkurugenzi wa Kampuni moja kubwa sana jijini Nairobi hivyo siwezi kuwa na wewe Patrick mtu usiyekuwa na future na ni daraja D ambalo ni dhaifu kwangu", alisema Christine. Patrick hakuielewa kauli ya mpenzi wake, akaamua kwenda kijijini kwa mama yake na Christine kuomba msaada wa suluhu ili aweze kumuoa binti yao kwani alikuwa ametumia gharama kubwa mno kumsomesha. Mama yake binti alijibu kuwa hawezi kumpangia mtoto wake mume wa kumuoa hivyo anapaswa aachwe ajiamulie yeye mwenyewe. Patrick hakukubali, akamtafuta dada yake Christine na kumwelezea hali halisi lakini alijibiwa kuwa hana hadhi ya kumiliki mwanamke aliyehitimu Chuo Kikuu hivyo atafute mwanamke wa level ya mgambo kama yeye. Aliondoka na kurudi nyumbani na kuchukua uamuzi mgumu wa kumuita Christine nyumbani kwa lengo la kuongea na kumaliza tofauti zao ili waachane kabisa, binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi. Alifika na kumkuta Patrick amejihami kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo. Nini maoni yako?
Yani wakenya bhana. Kamwanamke kenyewe kabayaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maoni yangu ni kwamba mwili wa huyo binti ukahifadhiwe kwenye nyumba yake ya milele tu, maana hamna namna nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BURUDANI: Watengenezaji wa ‘Game of Thrones’ wapanga kukaa mbali na mji ili wasisikie maoni ya watu baada ya tamthilia hiyo kuisha - David Benioff na D.B Weiss wamenukuliwa wakisema wakati wa kuisha kwa Game of Thrones watakuwa sehemu isiyo na mtandao wakinywa na kulewa - Wamesema ni kawaida kwa watu wengi kutofurahishwa na mwisho wa michezo mingi ya televisheni hivyo wao watazima simu ili wasiwe sehemu ya watu watakao sikia malalamiko - Wanaamini mwisho wa Game of Thrones hautawafurahisha wafuatiliaji hivyo wamempa kazi mtangazaji wa tamthilia Mara Mikialian kuwapa mrejesho
60178542_319565808735408_3793321596345784069_n.jpg
 
Kwahyo
BURUDANI: Watengenezaji wa ‘Game of Thrones’ wapanga kukaa mbali na mji ili wasisikie maoni ya watu baada ya tamthilia hiyo kuisha - David Benioff na D.B Weiss wamenukuliwa wakisema wakati wa kuisha kwa Game of Thrones watakuwa sehemu isiyo na mtandao wakinywa na kulewa - Wamesema ni kawaida kwa watu wengi kutofurahishwa na mwisho wa michezo mingi ya televisheni hivyo wao watazima simu ili wasiwe sehemu ya watu watakao sikia malalamiko - Wanaamini mwisho wa Game of Thrones hautawafurahisha wafuatiliaji hivyo wamempa kazi mtangazaji wa tamthilia Mara Mikialian kuwapa mrejeshoView attachment 1094443
 
Back
Top Bottom