Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aliyekwambia uzuri lzma uwe mweupe nani?hembu jiamini bwana jinsi ulivyo.uzuri wa mwanamke kitandani peke yake.unaweza kuwa mweupe kumbe hovyo kule kwenye mambo yetu yaleeeOk guys thanx but kitu kimoja hii yote wanaotufanya kuwa hv ni waume zetu ndo mana wanaenda nje kutafuta wazuri ndo mana tufanyaje
Sasa unakuta huyo ni msomi kabisa tena ana Masters ama PhD anaomba ushauri awe mweupe maana hataki kuwa mweusi kisa lotion bei ghari sana,yaani mpaka hapa wewe thamani huna kabisa unataka uwe mzungu kwakunywa dawa?
Ukienda TFDA pale HQ unashangaa kabisa watu ni wakujichubua halafu ndiyo wasomi wa kuzuia vipodozi hatari kweli?
Tembelea maofisi yetu hapa nchi wamama na wadada wanahangaika na mikorogo inayopigwa marufuku na serikali halafu wanasema ni makeup. Dada tulia na ulivyopewa na Mungu maana weusi sio ugonjwa ila sasa huo weupe unaotaka wewe ndiyo ugonjwa,jiamini ili nasi tukuamini hivi nywele kwenda kuweka kwenye dryer ndiyo uzuri,ama weupe?Tulia wewe.:nono:
Nishatupa
Jamani wadada weusi ridhikeni na rangi yenu,natamani ningekua mweusi,nikiona mdada mweusi soft wallah natamani,!msimkosoe mungu
Hlf wanasema ngozi nyeusi zina afya zaidi.
Kuna watu wana rangi nzuri bwana, yani brown, brown, cadbury, cadbury. Ukiwaona hata wewe mweupe utajiona si kitu.