Habari marafiki wote wa jamii naomba msaada au wazo kuhusu vidonge vya kuwa mweupe

Habari marafiki wote wa jamii naomba msaada au wazo kuhusu vidonge vya kuwa mweupe

Ok guys thanx but kitu kimoja hii yote wanaotufanya kuwa hv ni waume zetu ndo mana wanaenda nje kutafuta wazuri ndo mana tufanyaje
 
Mimi siwezi kula dawa hz tena asante kwa ushauri
 
Jamani mnamlaumu bure huyo.mwacheni ajichune kwani c ngozi yake mwenyewe?hlf we dd acha mashauzi.we mpk umenunua tena bei ghali km mwenyewe unavyodai c ina mana ulinuia kuwa mweupe?yanini sasa kuuliza huku au unawafanyia promo wenye vidonge.ila ckushangai sana mana watoto wa 3 si siri ngozi ishaanza kupoteza mvuto inabd uhangaike sana.kila la heri.
 
Ok guys thanx but kitu kimoja hii yote wanaotufanya kuwa hv ni waume zetu ndo mana wanaenda nje kutafuta wazuri ndo mana tufanyaje
aliyekwambia uzuri lzma uwe mweupe nani?hembu jiamini bwana jinsi ulivyo.uzuri wa mwanamke kitandani peke yake.unaweza kuwa mweupe kumbe hovyo kule kwenye mambo yetu yaleee
 
Mimi nina miaka 31, na
mwaka 2000 baada ya
kutoka tanzania na ngozi
yangu asili (originol)
ambayo ilikuwa ni nyeusi
na ya kun'gaa, marafiki
zangu hapa texas,
walinishawishi niwe
mweupe ili nami ning'ae.
basi nikapata vidonge vya
kungarisha mwili, yaani
kuwa mweupe. Na kusema
kweli, nilibadilika ngozi,
nikawa mweupe sana, na
siyo rahisi mtu kujua kama
kweli nimetumia madawa,
isipokuwa walionifahamu
tangu utotoni ndio
wanaoshangaa uweupe
huu nimeutoa wapi. Sasa
nilipataga mimba, ambayo
ilikuja kutoka, ila sikujua
tatizo ni nini. Hapa majuzi
tena, nikashika mimba ya
pili bahati mbaya mtoto
kafa (yaani mimba
imeharibika) nilienda kwa
dakitari kutaka kujua tatito
liko wapi, hapo ndo
nikaambiwa kwamba kuna
chemicals kwenye mwili
wangu ambazo ndio
chanzo cha watoto wangu
kufa.
nimeambiwa kwamba hayo
madini ni mengi mno, na
nisipoangalia nitakufa na
cancer ambayo inaweza
kuanza muda wowote.
suluhisho linaweza
kupatikana nikisafisha
damu, na uwezo huo sina,
au kama naweza kurudisha
ngozi yangu ya zamani
kwa sababu sasa hivi ngozi
yangu haina kinga tena.
Sisikitikii weupe, kwa
maana nikitu ambacho
nilikitamani sana, kwa hiyo
mzigo lazima niubebe,
ombi langu ni ushauri wa
kuweza kutoa hizi kemikali
mwilini mwangu.kama ni
kufa basi tena. cha ajabu
ni kwamba mchumba
wangu ametishia kuniacha
kwani siwezi kuzaa tena.
yaani sasa hivi analala nje
full, naumia lakini sina
jinsi..... naombeni ushauri
wenu, niko njia panda
mdau, texas usa
~~~~~~~~###~~~~~##~~~~~~
Tafakari unywe au utupe!!!!
 
Dada yangu unlucky,kwanza kabisa mwambie Mungu asante kwa kukuumba wewe.Tena iambie nafsi yako ya kwamba wewe ni lucky ndo maana upo hata leo na hata Mungu amekujalia hao watoto 3.Wewe ni mzuri tu jinsi ulivyo. Hakuna kitu kibaya kama kutokujiamini hapa duniani. Kutokujiamini kwako ndo kunakufanya uhisi hata huyo mumeo/mzazi mwenzako anatoka nje kutafuta wanawake weupe! Jiulize mpaka anakuzalisha watoto hao watatu alikua haoni kuwa wewe ni mweusi? Mshukuru sana Mungu ana makusudi na wewe na ndio sababu ulifikia hatua ya kununua dawa za kukubadirisha rangi ya ngozi ili uwe tofauti na alivyokuumba wewe, badala ya kuzimeza moja kwa moja ukaamua kuomba kwanza ushauri. Change kuanzia hilo jina lako na mtazamo wako!
 
Sasa unakuta huyo ni msomi kabisa tena ana Masters ama PhD anaomba ushauri awe mweupe maana hataki kuwa mweusi kisa lotion bei ghari sana,yaani mpaka hapa wewe thamani huna kabisa unataka uwe mzungu kwakunywa dawa?
Ukienda TFDA pale HQ unashangaa kabisa watu ni wakujichubua halafu ndiyo wasomi wa kuzuia vipodozi hatari kweli?

Tembelea maofisi yetu hapa nchi wamama na wadada wanahangaika na mikorogo inayopigwa marufuku na serikali halafu wanasema ni makeup. Dada tulia na ulivyopewa na Mungu maana weusi sio ugonjwa ila sasa huo weupe unaotaka wewe ndiyo ugonjwa,jiamini ili nasi tukuamini hivi nywele kwenda kuweka kwenye dryer ndiyo uzuri,ama weupe?Tulia wewe.
:nono:

Mmmmh mbona wewe kama Kennedy nimjuae ama???????????
 
Nishatupa

Ngoja nikwambie dada kama umetupa umefanya jambo la maana sana, hata hizo lotion unazopaka achana nazo.
Hakuna kitu kizuri kama kujiamini ulivyo, kujipenda na kumshukuru Mungu jinsi alivyokuumba.
 
Jamani wadada weusi ridhikeni na rangi yenu,natamani ningekua mweusi,nikiona mdada mweusi soft wallah natamani,!msimkosoe mungu
 
Jamani wadada weusi ridhikeni na rangi yenu,natamani ningekua mweusi,nikiona mdada mweusi soft wallah natamani,!msimkosoe mungu

Hlf wanasema ngozi nyeusi zina afya zaidi.

Kuna watu wana rangi nzuri bwana, yani brown, brown, cadbury, cadbury. Ukiwaona hata wewe mweupe utajiona si kitu.
 
Mpendwa unlucky tatizo niloona hapo ni kwamba una PSYCHOLOGICAL PROBLEM.....Jiamini mamá wenzio twatamani tungekua weusi tiiiiiiiii we wawaza kua mweupe kisa mume?........LOLz

JIKUBALI
 
Last edited by a moderator:
nikushauri nini mtu mwenyewe unaonekana huna akili
 
Back
Top Bottom