Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558

Engineering Bongo japani wasemeje sasa?
Naomba nikupinge bwana mkubwa. Mfumo wa elimu Tz una matatizo makubwa sana. 1.Continous assesment zina matatizo.Si vizuri kujudge mtu kwa mtihani mmoja ambao unafanywa siku 1 tena kwa masaa baada ya maisha ya shule kwa miaka 4 au 2.Mtu anaweza kufeli kwa sababu haelewi au kwa sababu zingine lakini sio kipimo halisi cha IQ ya mtu. 2.Vifaa vya kujifunzia havipo kabisa.Utumiaji wa madesa haufai lakini hii ni kwa sababu mtu hana computer ,internet matatizo ,mkopo umechelewa,printing is expensive. 3.Mahusiano mabaya na wahadhiri. Sasa hata kama mwanafunzi ana uwezo mkubwa utayeyuka tu. Kwa hiyo anayefeli chuo inawezekana ana uwezo mdogo au factors zingine zingine zimechangia. Ukweli utafahamika pale ikifanyika research na tusiishie kulaumu wanachukua vilaza.Pia elimu si kutesana kama ambavyo wengi mnavyojisifu. Unaweza kusoma hyo COET bila stress kama system inaendeshwa na wenye mtazamo chanya.Hapo juu mkuu umenikumbusha jambo..nakumbuka wakati mie naingia chuo ulikuwa ni lazima uwe atleast na D mbili lakini juzi nimemshuhudia mdogo wangu ameomba chuo ana point 16 na amepata tena law,nikajiuliza hivi ndo ili wote wasome ama maana halisi ya kufaulu haipo tena,baadae nikajiuliza tena sasa mwenye point hizi nae anaenda chuo kikuu ni nani ataenda dplm ama sasa kwenda dplm ni failurers,sasa frm this point of view you can easily predict the ouputs..poleni sana wana 'application of maths in solving out problems'...this country bwana!!

umesema neno mkuu!!
Kazeni buti; hamsomi halafu mnataka muonewe huruma. Je mngekuwa mnasoma kwa term kama sisi? Pigeni kitabu acheni kulalama
Tukubaliane kwamba na wewe ni kilaza tu. Hakuna cha udsm noma wala nini!Ila udsm noma wakuu..me mwenyewe ingawa ni ngwini bt nimeitwa kucheza mechi ya ngao ya jamii mwezi wa tisa{sup},tofaut na vyuo vngne wa2 wana Ma gpa makubwa.
Mi nitaanzia nyuma kidogo, inashangaza mwanafunzi anafika chuo kikuu lakini hajui hesabu kama za complex number, MAGAZIJUTO, intregral ndo usiseme kabisa. I was there at COET, intake za siku hizi zinatia aibu sana!! wanafunzi wengi wako chini sana kiviwango!!
I once asked my young brother studying at COET, "How come you finish your PCM in high school bila kujua complex number, integral, Newton Raphson Method etc? He just repplied, " Mwalimu mwenyewe aliyekuwa anatufundisha alikuwa hajui vizuri, kwa hiyo hata kufika chuo nimejitahidi". Nikasema, kumbe ni janga la kitaifa.
If you are teacher/lecturer, you will most of the time speak alone (nikimaanisha no challenges from the students) tofauti na enzi zetu, mwalimu akija shallow aibu atakayoipata hawezi kuja darasani bila kujiandaa. Siku hizi ndo aina ya wanafunzi wengi tulionao vyuo vikuu. Hakuna mategemeo makubwa sana kwani hajawa trained well tokea huko chini.
COET pale wanategemea madesa, mwalimu akiamua kutunga kama sasa walimu wengi ni wageni, basi utegemee hali kama hii!! vitabu vipo library wanafunzi wanasema hawana muda wa kusoma vitabu, so how can someone call himself/herself ni mwanafunzi chuo bila kugenerate ideas kutoka kwenye vitabu? Ndo maana wengi wakishamaliza, hawana hamu ya kuendelea kusoma hizo professionals.
ni 1.8Hiyo ndo CoET mwana,Hakuna Kulala mwanzo mwenga,Ndo inabidi ujitume ili tusipate wakandarasi wanaodondosha maghorofa!!! Poleni mlio-Disco,Msife moyo kufeli chuo sio kufeli maisha,Karibuni uraiani tujumuike wote...G.P.A 2.0 kumbe kubwa eh eh eh eh eh eh.
Bora umeweka wazi ukilaza wako, ni udsm hiyo hyo tumepata magpa unayoyaita makubwaIla udsm noma wakuu..me mwenyewe ingawa ni ngwini bt nimeitwa kucheza mechi ya ngao ya jamii mwezi wa tisa{sup},tofaut na vyuo vngne wa2 wana Ma gpa makubwa.
kapata chuo au chuo kikuu? Isije ikawa Manzese UniversityHapo juu mkuu umenikumbusha jambo..nakumbuka wakati mie naingia chuo ulikuwa ni lazima uwe atleast na D mbili lakini juzi nimemshuhudia mdogo wangu ameomba chuo ana point 16 na amepata tena law,nikajiuliza hivi ndo ili wote wasome ama maana halisi ya kufaulu haipo tena,baadae nikajiuliza tena sasa mwenye point hizi nae anaenda chuo kikuu ni nani ataenda dplm ama sasa kwenda dplm ni failurers,sasa frm this point of view you can easily predict the ouputs..poleni sana wana 'application of maths in solving out problems'...this country bwana!!

Hello jf!!wanafunzi 27 wa mwaka wa pili ktk college ya uhandisi{udsm} wanaochukua bsc in civil engineering wamedisco,na wengne wengi wanaochuka uhandisi wa fani nyingne nao wamedisco!!swali,ni masomo magum,wanafunzi hawaji2mi au unoko wa profs?

hahaaa kumbe dogo na kujitapa kila ck jf , kumbe ndo kilaza hvy una mi supp kibao, hahaaa ujue watu weny uwezo wao kimasomo c walopokaj kama wew, na hawana dharau kama wew sa unasema udsm noma kwa vile umepata supp we kilaza cjui uliendaje chuo kikuu kwanza ulitakiwa upitie dipl ndo uende huko. Dogo nkwambie ki2 maisha ya mtaani hakuna udom, mzumbe, udsm sua, muccobs, saut cjui maliza chuo uone mtaani na hao unaowaita vilaza wa vyuo vingine ndio watakao kuajiri! We kwa mwendo huu naona ukimaliza chuo utafikir jina la chuo ndo litakupatia kaz think big!
maganga mkweli umenena vema sana, mie nilikua mwanafunzi wa CoET na sasa niko CoICT kuna mengi yanayochangia ndugu zangu kudisco.
1st n foremost mfumo mzima wa elimu ya uhandisi pale CoET, ukitaka ufaulu sana somea CoET kwa kua utakutana na past pepaz na madesa ya kutosha. tunaosomea mbali na CoET basi tunakua tayari na GPA za kawaida. Kusema za ukweli nionavyo mie, udahili unaofanyika Civil unachangia sana kudisco kwao. sio kua Tele CIT na Electrical ni rahisi, nakataa kwa asilimia 800% ni ngumu kama huko kwingine tu. udahili wa tele cit unaangalia kiwango cha ufaulu na siku wataanza kuchukua div 3 tele na cit definatelly watadisco wengi...hii siasa ya kila mtu asome chuo kikuu au elimu ya juu inafail na inafelisha vijana wengi. nawaonea huruma sana ndugu zangu waliodisco MUNGU awapatie nguvu ya kuvuka kipindi hiki kigumu.
nakuunga mkono kwa asilimia nyingi sana.....wadogo zetu wanahitaji sana elimu kuhusu course za vyuo vikuu ili wasije potezana.we are victim of corrupted system ... sihasa everywhere
jambo la msingi ni wadogo zetu waliopo A LEVEL wasifuate mkumbo WANAPOCHAGUA COURSE na ningepengeza kuwe na utaratibu wa kuelimisha wapokuwa A LEVEL WAELEKEZWE HIZI TARATIBU ZA TCU NA LOAN BOARD KABISA

dah!!inauma sana mkuu,cjapata idadi kamili ya wacoet wote walodisco,nkipata ntaiweka hapa jamvini.