Mi nitaanzia nyuma kidogo, inashangaza mwanafunzi anafika chuo kikuu lakini hajui hesabu kama za complex number, MAGAZIJUTO, intregral ndo usiseme kabisa. I was there at COET, intake za siku hizi zinatia aibu sana!! wanafunzi wengi wako chini sana kiviwango!!
I once asked my young brother studying at COET, "How come you finish your PCM in high school bila kujua complex number, integral, Newton Raphson Method etc? He just repplied, " Mwalimu mwenyewe aliyekuwa anatufundisha alikuwa hajui vizuri, kwa hiyo hata kufika chuo nimejitahidi". Nikasema, kumbe ni janga la kitaifa.
If you are teacher/lecturer, you will most of the time speak alone (nikimaanisha no challenges from the students) tofauti na enzi zetu, mwalimu akija shallow aibu atakayoipata hawezi kuja darasani bila kujiandaa. Siku hizi ndo aina ya wanafunzi wengi tulionao vyuo vikuu. Hakuna mategemeo makubwa sana kwani hajawa trained well tokea huko chini.
COET pale wanategemea madesa, mwalimu akiamua kutunga kama sasa walimu wengi ni wageni, basi utegemee hali kama hii!! vitabu vipo library wanafunzi wanasema hawana muda wa kusoma vitabu, so how can someone call himself/herself ni mwanafunzi chuo bila kugenerate ideas kutoka kwenye vitabu? Ndo maana wengi wakishamaliza, hawana hamu ya kuendelea kusoma hizo professionals.