njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Habari hii ndugu zangu wana jukwaa hamtaisikia ikiongelewa kwenye "media" zetu za HOFYOHOFYOOOOOO makanjanja huko yalipo yamekunja hadi sura maana week hii wamejaribu kufanya yooote kutingisha wana simba waapiiii raia wamekausha tu kimya lengo lao la kuleta mgogoro limeshindikana
Team kushika nafasi ya pili na kufika robo fainali Afrika imekuwa topic kubwa ya kutaka CEO atolewe huku kanjanja Shafih Dauda likidai kwamba Senzo alifanya makubwa sana kihistoria hapo simba kuliko huyu dada , well, sisi tunamkumbuka Senzo ambaye alikuja akakuta msimu wa nyuma yake simba imefika robo fainali ya champions league yeye akafanikisha kutolewa round ya awali na ud songo
Mbali na kanjanja Shafih dauda ambalo kuna kipindi likiwa limetulia nyumbani kwake likinywa kahawa huku likiwa kifua wazi liliamua ku concoct story kwamba simba imecheza mechi ya kirafiki na green warriors na kufungwa 2-0 ...kama hujaelewa ni kwamba hiyo mechi haikuwepo wala haikuwahi kufikiriwa kucheza , wakati kanjanja Dauda liko kwenye utopia na kuandika habari hiyo ya uongo kina mkude walikuwa zao bar huko kawe wanakunywa konyagi lakini kwenye kikosi cha mechi hiyo ya kufikirika ya bwana dauda mkude alicheza na alizidiwa kwelikweli
Ukiachana na Dauda ambaye anamuona Barbra kama mpaka lipstick tu kwa maneno aliyowahi kuandika kuna kanjanja jingine ambalo ikifika kwenye masuala ya utopolo na simba huwa halikumbuki maadili na hiyo ni kama linajua maadili bwana kitenge la efm ,week hii liko bize kutaka kuvuruga mambo likidai ni tetesi, kwa mfano linadai mchezaji Inlafya aliyepo kwa mkopo kmc simba haijawahi mlipa mshahara tangu aende huko
kumbuka yote haya yanatokea kwa kasi week hiii,sasa kuna habari ya kwamba lile kocha chizi lililolishwa maneno ya kutisha kuhusu simba na kina SOPE NA SENZO tangu likiwa kwao kwenye nchi ya xenephobia likafika dsm na kupata escort ya pikipiki moja likdai walikuwa treated kama wanyama na simba huku makanjanja yakichekelea na kufurahia hali hiyo yakashindwa kufanya follow up questions sababu ya ushabiki na mengineyo pia sababu ya kutokujua english ....kocha chizi limeomba radhi kwa CAF na SIMBA SC
*angalizo, hiii habari hautaisikia popote pale ukanjanjani sanasana utasikia lipstick za BARBRA na jinsi simba ilivyofeli kwa kuishia robo fainali afrika ilihali kuna team iliandaa hadi press conference mwanzo mwa msimu wakasema lengo lao ni kufika nusu fainali klabu bingwa afrika wakatolewa round ya awali na kwa macho ya makanjanja hao jamaa wamefanikiwa sana msimu huu