Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,874
- 5,685
Baada ya Diamond kuubana wimbo wake wa Zilipendwa kusubiri Ally Kiba atoe kibao chake cha Seduce me ndiyo autoe wimbo wake ili kuufunika wimbo wa Kiba, Kinachoendelea sasa ni kwamba jaribio limeshindikana.
Mpaka sasa hivi wimbo wa Seduce me una viewers 4.2m na ni no 1 trending wakati Diamond na wimbo wake wa Zilipendwa una viewers 3.5m na ni no 3 trending.
kinachoendelea kimewafanya mpaka team Mondi kutengeneza wimbo wa Seduce me ulioimbwa kiratino ili ionekane kama Kiba ame copy na kuusambaza mitandaoni.
Nalo pia halijasimamisha kasi ya Seduce me. Kila kona wimbo wa Seduce me unapigwa na kuimbwa . Poleni sana team Mondi