Habari mbaya kwa team Mondi

Habari mbaya kwa team Mondi

Mie nasubiria miez mi2 ipite ndo ntazitathmini hizo nyimbo
 
Mko bize na kiba na mondi, maswali ya usaili TRA kila mmoja wenu analalamika ni MAGUMU wakati sivyo, mnajiroga wenyewe!
 
Huko vevo kwa kiba hawezi nunua viewers

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
nani kakudanya uongo huo ulisoma hii habari

Last week, when YouTube thought no one was looking, it apparently removed 156 million views from Lady Gaga’s VEVO channel.
na bado kuna mastar wengi km katty perry, justin bieber, taylor iliwapitia


G.O.M.D
 
IMG_8005.PNG
View attachment 582242View attachment 582245
Baada ya Diamond kuubana wimbo wake wa Zilipendwa kusubiri Ally Kiba atoe kibao chake cha Seduce me ndiyo autoe wimbo wake ili kuufunika wimbo wa Kiba, Kinachoendelea sasa ni kwamba jaribio limeshindikana.
Mpaka sasa hivi wimbo wa Seduce me una viewers 4.2m na ni no 1 trending wakati Diamond na wimbo wake wa Zilipendwa una viewers 3.5m na ni no 3 trending.
kinachoendelea kimewafanya mpaka team Mondi kutengeneza wimbo wa Seduce me ulioimbwa kiratino ili ionekane kama Kiba ame copy na kuusambaza mitandaoni.
Nalo pia halijasimamisha kasi ya Seduce me. Kila kona wimbo wa Seduce me unapigwa na kuimbwa . Poleni sana team Mondi
We mtoa mada, bado upo?
 
Team mond walitaka kiba atoe kaz katoa kaz wanaanza fitina tena, hawa watu wanatia huruma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya ndio inayowatafuna, na inawauma wao kutoa nyimbo sijui 10 na zote zikabuma alafu Kiba kawimbo kamoja tu kanafunika kila kitu.
Hata mimi ningeumia kwakweli, Kiba ni pasua kichwa kweli.
 
Ndio ile wanaume wanne kuvaa mawig ili kumkabili dume moja na bado hawakufua dafu................ shikamoo seduce me
 
Currently trending:-

1. Patoranking - Love You Die ft. Diamond Platnumz


2. AliKiba - Seduce Me


3. WCB Artists - Zilipendwa
 
Back
Top Bottom