Habari mbaya kwa team Mondi

Habari mbaya kwa team Mondi

View attachment 582242View attachment 582245
Baada ya Diamond kuubana wimbo wake wa Zilipendwa kusubiri Ally Kiba atoe kibao chake cha Seduce me ndiyo autoe wimbo wake ili kuufunika wimbo wa Kiba, Kinachoendelea sasa ni kwamba jaribio limeshindikana.
Mpaka sasa hivi wimbo wa Seduce me una viewers 4.2m na ni no 1 trending wakati Diamond na wimbo wake wa Zilipendwa una viewers 3.5m na ni no 3 trending.
kinachoendelea kimewafanya mpaka team Mondi kutengeneza wimbo wa Seduce me ulioimbwa kiratino ili ionekane kama Kiba ame copy na kuusambaza mitandaoni.
Nalo pia halijasimamisha kasi ya Seduce me. Kila kona wimbo wa Seduce me unapigwa na kuimbwa . Poleni sana team Mondi
Duh! Babu duni alisema "Ndembe ndembe,nyang'any'ang'a,chaliiii,kifo cha mende" hahahahaha
 
*Edo Kumwembe*
Katika nchi ambayo kijana yuko tayari kulia, kutukana, kupigana kwa ajili ya kumtetea Ali Kiba au Diamond kuliko anavyokerwa na kupanda kwa bei ya Sukari usitegemee kuona watawala wetu wakifikiria kuiga mambo ya Kenya. Watawala Wanazijua akili zetu....waacheni Wakenya wawe Wakenya...Sisi tulipewa akili za kuvuka traffic lights tu..Na bado hata taa zenyewe zinatusumbua...niacheni nishavurugwa!!!
 
Aiseee hatari hii halafu naona karibu media zote zimempotezea huyu dogo na zilipendwa haina promo kabisaaaaa

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Boko alilotoa mond si la nchi hii,tatizo alijiaminisha kuwa kwa sasa ameshakuwa top kuliko wasanii wote,hivyo alitaka kumthibitishia hilo mbaya wake kitu ambacho hakupaswa kukifanya,kikubwa kazi zake nzuri tu ndo zingeongea.
 
Huku nilipo alshabaab hawaruhusu mziki kabisa huku ni quraan alkariim na how to use an ak47 sniper training and how to b fair on ur 4 beutiful wives period......
 
Tajiri Mondi ana waumiza sanaa .. kiba na team yake ote mnaweza mkalishwa na daimondi hadi siku mtakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa naamini kama wewe unavyo amini sasa,lkn kwa hili bifu alilozianzisha mond juzi limenifanya nibadili mtazamo.kuwa WCB macho yao yote ni kwa Alikiba kwa sasa,maana wanamuona kama msanii mwenye uwezo mkubwa na kutishia ustawi.Ndo maana wanampiga vita kila kukicha.
 
Boko alilotoa mond si la nchi hii,tatizo alijiaminisha kuwa kwa sasa ameshakuwa top kuliko wasanii wote,hivyo alitaka kumthibitishia hilo mbaya wake kitu ambacho hakupaswa kukifanya,kikubwa kazi zake nzuri tu ndo zingeongea.
Jifarijini kwa maneno hayo

Zilipendwa inakimbiza kitaani so endeleeni kujifariji na gape youtube linazid kupungua tu....hizi ni mbio ndefu so baada ya mda tutaona nani mkubwa kuliko mwwnzio.....endeleeni kukesh youtube lasivyo.......!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikuwa naamini kama wewe unavyo amini sasa,lkn kwa hili bifu alilozianzisha mond juzi limenifanya nibadili mtazamo.kuwa WCB macho yao yote ni kwa Alikiba kwa sasa,maana wanamuona kama msanii mwenye uwezo mkubwa na kutishia ustawi.Ndo maana wanampiga vita kila kukicha.
Siku kama leo mwezi ujao nitakutag tena kwny uzi huu....kukupa mrejesho wa youtube na mtaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga mzigo sana, shabikia mtu ambaye mwisho wa siku anamake mkwanja mrefu we unaishia kununua bundle kwa salio la nipige tafu... Hopeless kabisa

Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
Back
Top Bottom