mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
c kwasabab nakupenda sema tuu uko against kila kitu na mimiMy follower upo vizuri kunifuatilia
c kwasabab nakupenda sema tuu uko against kila kitu na mimi
nani kakudanya uongo huo ulisoma hii habariHuko vevo kwa kiba hawezi nunua viewers
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
We mtoa mada, bado upo?View attachment 582242View attachment 582245
Baada ya Diamond kuubana wimbo wake wa Zilipendwa kusubiri Ally Kiba atoe kibao chake cha Seduce me ndiyo autoe wimbo wake ili kuufunika wimbo wa Kiba, Kinachoendelea sasa ni kwamba jaribio limeshindikana.
Mpaka sasa hivi wimbo wa Seduce me una viewers 4.2m na ni no 1 trending wakati Diamond na wimbo wake wa Zilipendwa una viewers 3.5m na ni no 3 trending.
kinachoendelea kimewafanya mpaka team Mondi kutengeneza wimbo wa Seduce me ulioimbwa kiratino ili ionekane kama Kiba ame copy na kuusambaza mitandaoni.
Nalo pia halijasimamisha kasi ya Seduce me. Kila kona wimbo wa Seduce me unapigwa na kuimbwa . Poleni sana team Mondi
Nipo mkuu karibu tenaView attachment 582496
We mtoa mada, bado upo?
Love you die wa patorakingWimbo gani unatrend no 2?
Roho mbaya ndio inayowatafuna, na inawauma wao kutoa nyimbo sijui 10 na zote zikabuma alafu Kiba kawimbo kamoja tu kanafunika kila kitu.Team mond walitaka kiba atoe kaz katoa kaz wanaanza fitina tena, hawa watu wanatia huruma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi seduce me ndo wimbo wa kwanza wa kiba maana unajitoa akili mpk unakuwa zuzu.Views si inshu tena,vita ilishaisha na mshindi ni kiba,mbona huzungumzii views za ENEKA ambayo imetolewa miezi kadhaa iliyopita? Hahahahaha
Hizi team ni uchizi na ulofa mbona zote nyimbo nzuri na wote wanamuziki wazuri kasoro ni moja tu mmoja hana adabu basi.Team kazini
ENEKA na FIRE Zina views ngapi sasa hivi? HAHAHANahisi seduce me ndo wimbo wa kwanza wa kiba maana unajitoa akili mpk unakuwa zuzu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyo hana adabu?Hizi team ni uchizi na ulofa mbona zote nyimbo nzuri na wote wanamuziki wazuri kasoro ni moja tu mmoja hana adabu basi.
Comment zako Za kijinga zishazoelekaMko bize na kiba na mondi, maswali ya usaili TRA kila mmoja wenu analalamika ni MAGUMU wakati sivyo, mnajiroga wenyewe!