Ndio wanaamini wasanii wetuImani yao eti wa kumalizia bifu kick zitapungua
Huko vevo kwa kiba hawezi nunua viewersIla hizi timu MI binafsi huwa sizielewi diamond akiwa na views nyingi utasikia kanunua ila zikiwa kwa Kiba hajanunua yaani inashangaza Sawa wenye timu zenu endeleeni
Sent using Jamii Forums mobile app