Duh! Babu duni alisema "Ndembe ndembe,nyang'any'ang'a,chaliiii,kifo cha mende" hahahahahaView attachment 582242View attachment 582245
Baada ya Diamond kuubana wimbo wake wa Zilipendwa kusubiri Ally Kiba atoe kibao chake cha Seduce me ndiyo autoe wimbo wake ili kuufunika wimbo wa Kiba, Kinachoendelea sasa ni kwamba jaribio limeshindikana.
Mpaka sasa hivi wimbo wa Seduce me una viewers 4.2m na ni no 1 trending wakati Diamond na wimbo wake wa Zilipendwa una viewers 3.5m na ni no 3 trending.
kinachoendelea kimewafanya mpaka team Mondi kutengeneza wimbo wa Seduce me ulioimbwa kiratino ili ionekane kama Kiba ame copy na kuusambaza mitandaoni.
Nalo pia halijasimamisha kasi ya Seduce me. Kila kona wimbo wa Seduce me unapigwa na kuimbwa . Poleni sana team Mondi
Hahahaha
Katika mistake kubwa ambayo diamond kaifanya katika maisha yake ya muziki ni hili boko alilotoa juzi.Hakika hatasahau kamwe.Je huku hizi ni dalili za Kiba kuchukua kiti chake?
Boko alilotoa mond si la nchi hii,tatizo alijiaminisha kuwa kwa sasa ameshakuwa top kuliko wasanii wote,hivyo alitaka kumthibitishia hilo mbaya wake kitu ambacho hakupaswa kukifanya,kikubwa kazi zake nzuri tu ndo zingeongea.Aiseee hatari hii halafu naona karibu media zote zimempotezea huyu dogo na zilipendwa haina promo kabisaaaaa
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Mimi nilikuwa naamini kama wewe unavyo amini sasa,lkn kwa hili bifu alilozianzisha mond juzi limenifanya nibadili mtazamo.kuwa WCB macho yao yote ni kwa Alikiba kwa sasa,maana wanamuona kama msanii mwenye uwezo mkubwa na kutishia ustawi.Ndo maana wanampiga vita kila kukicha.Tajiri Mondi ana waumiza sanaa .. kiba na team yake ote mnaweza mkalishwa na daimondi hadi siku mtakufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifarijini kwa maneno hayoBoko alilotoa mond si la nchi hii,tatizo alijiaminisha kuwa kwa sasa ameshakuwa top kuliko wasanii wote,hivyo alitaka kumthibitishia hilo mbaya wake kitu ambacho hakupaswa kukifanya,kikubwa kazi zake nzuri tu ndo zingeongea.
Siku kama leo mwezi ujao nitakutag tena kwny uzi huu....kukupa mrejesho wa youtube na mtaani.Mimi nilikuwa naamini kama wewe unavyo amini sasa,lkn kwa hili bifu alilozianzisha mond juzi limenifanya nibadili mtazamo.kuwa WCB macho yao yote ni kwa Alikiba kwa sasa,maana wanamuona kama msanii mwenye uwezo mkubwa na kutishia ustawi.Ndo maana wanampiga vita kila kukicha.
Mtaani ndyo wapi huko?Siku kama leo mwezi ujao nitakutag tena kwny uzi huu....kukupa mrejesho wa youtube na mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
bado unasubir viewers?Naona unamuwaza sana mond
Hata eneka mulisema hivyo hivyo lkn imeishia na views 3.4 hahahahaJifarijini kwa maneno hayo
Zilipendwa inakimbiza kitaani so endeleeni kujifariji na gape youtube linazid kupungua tu....hizi ni mbio ndefu so baada ya mda tutaona nani mkubwa kuliko mwwnzio.....endeleeni kukesh youtube lasivyo.......!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Views si inshu tena,vita ilishaisha na mshindi ni kiba,mbona huzungumzii views za ENEKA ambayo imetolewa miezi kadhaa iliyopita? HahahahahaSiku kama leo mwezi ujao nitakutag tena kwny uzi huu....kukupa mrejesho wa youtube na mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
bado unasubir viewers?
Hahahahaha! Zilipendwa hiyowakati mnacomplain em kula Zilipendwa Instrumental kwanza taratibu..
Sent using Jamii Forums mobile app