Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

walaji wakubwa wa mdudu walahi ni wachina hawatupi kitu [emoji106] sasa wao ndio wanaoongoza kwa kuishi sana duniani..[emoji4] napo unasemaje?
 
Vitambi pia, wanaokula mdudu hawakosi kakitambi si KE wala ME hata ka ushkaji pia walaji mdudu wana tabia ya kupotea utaskia natoka naja sasa hivi kumbe anakula shwain..
 
Mwenye akili hali hiyo kitu, ila wasomi ndio wenye kuipenda hiyo kitu.
 
Kinachotakiwa Ni kuchemsha vizuri hiyo nyama.
Kwanza hii nyama Ni laini inaiva mapema..Ko mpaka mtu akila nyama ambayo haijaiva vizuri Ni uzembe wa mpishi.
By the way kwa wapenda kitimoto, nyama huwa inachemshwa inakaangwa halafu Ina roastiwa.
Risks za tapeworms kusurvive ni ndogo.
Viva Kitimoto.
 
walaji wakubwa wa mdudu walahi ni wachina hawatupi kitu [emoji106] sasa wao ndio wanaoongoza kwa kuishi sana duniani..[emoji4] napo unasemaje?
Hoja yako ni kusema nyama ya nguruwe inaongeza life expectancy?

Kwa hiyo sababu ya wachina kuishi miaka mingi ni kwasababu wanakula kitimoto?

Nikwambie tu life expectancy ina mambo lukuki sio nyama peke yake, mpaka uchumi wa nchi na hali halisi ya maisha vyote vinahusika.



Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Huyo docta ni Makinikia kama yale mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je hudhani pia anaweza kuwa mu Islam.
Si usabato si Uislam. Kwanza utafiti huo ni marudio tu. Tegu wakiwa wengi katika nyama ya nguruwe mayai yao hukaa kwenye vifuko vyeupe minofuni mwa chair- fire. (huonekana kama mbegu za papai bichi). Nyama ya Nguruwe yapaswa ikaguliwe kuona kuwa haina infestation ya hao tegu. Ikiwa haina in nyama bora sana kuliwa kuliko nyama hizo nyekundu za ng'ombe na mbuzi. Na kwa usalama zaidi yapaswa kuivishwa vizuri kabla ya kuliwa ili kuuwa hayo mayai ya tegu (cysts). Maana ni kweli mwilini mwa kiumbe huweza kusafirishwa hadi kwenye ubongo na kufanya interference na normal functioning ya brain hence EPILEPSY. So beware

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeeleza upotoshaji hujaeleza ukweli ni upi

Au ni mapenzi tu hata hivyo mdudu mtamu sana

nYaNi wA KaLe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…