Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

Kwani uongo? Ingieni darasani kwanza alafu mje mezani mkabishane, unadhani kwann watalaam wa mifugo wengi wao hawalagi mishikaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umoja wa Wapenzi wa Kitimoto Tanzania (UWAKITA) unalaani vikali upotoshaji huo dhidi ya mnyama pendwa.

Tunawataka waombe radhi hadharani ndani ya siku tatu!
 
Ni kweli huo mnyoo upo(Taeni solium),cyst zinauwezo wa kufika kwenye ubongo na kuleta madhara japo percent yake ni ndogo,hiyo condition inaitwa cystercecosis au Neurocystercecosis ambayo ni hatari.
 
Fanya nawewe utafiti wako then utuletee hapa hapa kudhibitisha kwamba kweli SUA wanaipotosha UMMA kwa kula nyama ya kitu cha moto acheni uroho mlisha ambiwa msile nyama hiyo ina madhara kwa binadam nyie wa bishi ndo kwanza mmanapingana na wana sayansi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sifuri, inachemshwa ukipewa ile spoku ya kuchagua utajua tu kama haijaiva, alafu wanaipiga kwenye wese na kama unataka rojo wanaipiga tena kwenye sorce, sasa uyo mnyoo ana chomoaje hapo?
 
Ni sifuri kumnaga huyu mnyama, inachemshwa ukipewa ile spoku ya kuchagua utajua tu kama haijaiva, alafu wanaipiga kwenye wese na kama unataka rojo wanaipiga tena kwenye sorce, sasa uyo mnyoo ana chomoaje hapo?
 
Yaan wazungu hawajatoa utafiti huo....wabongo tena kutoka moro ndio waje na marufuku yakula mdudu huyu....nami namwambia huyo mtafiti niugue kifafa, niugue kifaduro...niugue tumbo...ila huyu mdudu siachi kumtafunaaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SUA bwana! Wanavitafiti vya miaka 1880! Hatujawahi wasikia wakivumbua vitu useful kwa dunia ya sasa! Panyaa,, tafiti za kiboyaa! ha ha ha
 
Mdudu Ana kifafa

CantstopwontStop
Bro ukihoji unaweza usile vitu vingi tu, for example it is proven that red meat and goat meat in particular contains purines, which are compounds that create uric acid when they oxidize and ultimately gouts! kwa maana hiyo waambie watu wasile mbuzi basi.
 
Afu siku hizi Tafiti zimekuwa nyingi kweli

CantstopwontStop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…