stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hawalagi??Kwani uongo? Ingieni darasani kwanza alafu mje mezani mkabishane, unadhani kwann watalaam wa mifugo wengi wao hawalagi mishikaki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani uongo? Ingieni darasani kwanza alafu mje mezani mkabishane, unadhani kwann watalaam wa mifugo wengi wao hawalagi mishikaki?Kwanza makinika nami vizuri kuhusu hizi picture hapa chini:-
View attachment 587398
View attachment 587399
View attachment 587400
View attachment 587401
View attachment 587402
Sasa twende kwenye upotoshaji wa SUA kuhusu huyu mdudu:-
Nchini Tanzania nyama ya nguruwe ni maarufu katika maeneo mbali mbali ya starehe na imepewa majina mengi kama vile mkuu wa meza, kiti moto na mengineyo mengi.
Hata hivyo utafiti wa kisayansi kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine( SUA) umebaini kuwa walaji wa nyama ya nguruwe wako katika hatari ya kupata magonjwa kama vile kifafa kutokana na mnyoo Tegu uliopo kwenye nyama ya nguruwe.
Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na mtafiti wa magonjwa ya binadamu na wanyama Dkt. Boa Mathias Emanuel kutoka chuo kikuu cha SUA na kwanza amemuuliza ueneaji wa ugonjwa huu.
SUA wanafanya makusudi sana.
Kwanza makinika nami vizuri kuhusu hizi picture hapa chini:-

Ni sifuri, inachemshwa ukipewa ile spoku ya kuchagua utajua tu kama haijaiva, alafu wanaipiga kwenye wese na kama unataka rojo wanaipiga tena kwenye sorce, sasa uyo mnyoo ana chomoaje hapo?Kinachotakiwa Ni kuchemsha vizuri hiyo nyama.
Kwanza hii nyama Ni laini inaiva mapema..Ko mpaka mtu akila nyama ambayo haijaiva vizuri Ni uzembe wa mpishi.
By the way kwa wapenda kitimoto, nyama huwa inachemshwa inakaangwa halafu Ina roastiwa.
Risks za tapeworms kusurvive ni ndogo.
Viva Kitimoto.
Ni sifuri kumnaga huyu mnyama, inachemshwa ukipewa ile spoku ya kuchagua utajua tu kama haijaiva, alafu wanaipiga kwenye wese na kama unataka rojo wanaipiga tena kwenye sorce, sasa uyo mnyoo ana chomoaje hapo?
Bro ukihoji unaweza usile vitu vingi tu, for example it is proven that red meat and goat meat in particular contains purines, which are compounds that create uric acid when they oxidize and ultimately gouts! kwa maana hiyo waambie watu wasile mbuzi basi.Mdudu Ana kifafa
CantstopwontStop
Kisa umeambiwa usile iyo nyama...Mkuu SUA imejaza division 3 nyingi ambazo ni rejects ya Mzumbe, UD, Muhimbil hivyo usishangae katika hilo
Afu siku hizi Tafiti zimekuwa nyingi kweliBro ukihoji unaweza usile vitu vingi tu, for example it is proven that red meat and goat meat in particular contains purines, which are compounds that create uric acid when they oxidize and ultimately gouts! kwa maana hiyo waambie watu wasile mbuzi basi.