Kitimotoo...
Uipate ile rosti iliyorostiwa mpaka ikageuka kuwa brown, alafu pembeni inawekwa na pilipili za kukata zile zimechanganywa zile za kijani na moja inayoelekea kwenye uekundu hivi pembeni tena kuna vipande vya ndimu zile kubwa pamoja na chumvi...
Hiyo upate na dona au ndizi kama tatu hivi zilizokaangwa...
Kabla hujamaliza kuikagua sahani kama kila kitu ulichoagizwa unaambiwa na Mhudumu "naomba unawe...
Unamwaangalia kidogo usoni then unakinga mkono unanawa maji ya uvuguvugu saafi kabisaa
Hapoo sasaa utaamuaa mwenyewe kupatapa kifafa auu uache kumfaidi myama...