Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

Germany wataalam ndo walipozaliwa sijawahi kusikia huo upuuzi na nyama za nguruwe zinaliwa daily.
 
Walaji wa wanyama ya nguruwe,hurudisha maendeleo nyuma,ni sawa na wanywaji wa viroba,vilivyopigwa marufuku.
Mlaji nyama ya nguruwe,ufanisi wa kazi ni ziro kabisa,kutokana na minyoo,huwa inamsumbuwa kichwani,mda wote anawaza kula uchafu wa nguruwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uroho tu halo ndo unakusumbua!!, utafiti unapingwa na utafiti, fanya wako ule huo uchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupotosha watu ina maana hata huo utafiti kama haujatimiza vigezo upingwe na utafiti halali,yaani watu wamejifungia ndani wakaandaa chapisho unaita utafiti,tutaendelea kula kitimoto hadi mwisho wa dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada unahitaji kutafuta taarifa zaidi kuhusu hao huo utafiti.
Muhimu ni kwamba hao minyoo ni kawaida kwa nguruwe na hii minyoo hufa pale nyama ya nguruwe inapopikwa na wameshauri watu waepuke kuchoma nyama ya nguruwe kwa sababu joto linalotakiwa kuuwa hiyo minyoo linaweza lisifikiwe.
Wameshauri nyama ichemshwe kwa maji au kwenye mafuta ili iive vizuri.

Hivyo Ndivyo walivyoshauri hao watafiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao uliowataja ndio wengi,waliokamatwa na vyeti feki.Ukiangalia majina 99%,wenye vyeti feki ni majina ya walaji uchafu wa nguruwe.
Ujanja kupata hau..[emoji4] fuga nguruwe kiuchumi na kiafya badala ya kufuga ndevu [emoji4]
 
Ha ha tafiti zingne. Bana... Muhudumu leta lostttttttttttttttttttttttt...tangu babu yake babu mzaa babu wa babu alo mzaa babu mzaa baba tunakula uyo mdudu no kifafa no kiriba tumboo... Izo tafit za mashekhe wa mtambani tushazizoeaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitimotoo...

Uipate ile rosti iliyorostiwa mpaka ikageuka kuwa brown, alafu pembeni inawekwa na pilipili za kukata zile zimechanganywa zile za kijani na moja inayoelekea kwenye uekundu hivi pembeni tena kuna vipande vya ndimu zile kubwa pamoja na chumvi...

Hiyo upate na dona au ndizi kama tatu hivi zilizokaangwa...

Kabla hujamaliza kuikagua sahani kama kila kitu ulichoagizwa unaambiwa na Mhudumu "naomba unawe...
Unamwaangalia kidogo usoni then unakinga mkono unanawa maji ya uvuguvugu saafi kabisaa
Hapoo sasaa utaamuaa mwenyewe kupatapa kifafa auu uache kumfaidi myama...
 
Wakuu wa JamiiCheck naomba mtusaidie katika hili maana nimekuwa nikisia sana kuwa mtu anayekula nyama ya nguruwe anaweza kupatwa na ugonjwa wa kifafa, je ni kweli?
Pork_with_tordylium_apulum,_rosemary_and_feta_02.JPG
 
Nyama ya nguruwe isiyoiva vizuri au yenye maambukizi ya minyoo fulani inaweza kusababisha ugonjwa unaoitwa Neurocysticercosis, ambao ni moja ya visababishi vikuu vya kifafa katika baadhi ya maeneo ya dunia.

Si kweli kwamba kila anayekula nyama ya nguruwe anaweza kupata kifafa. Ila, inaweza kutokea endapo ikiwa nyama ya nguruwe:
  1. Haijaiva vizuri, hivyo minyoo hai bado ipo.
  2. Imetoka kwa nguruwe walioambukizwa minyoo ya tegu.
  3. Mtu hajazingatia usafi – hasa kuosha mikono baada ya kushika nyama mbichi au kinyesi cha nguruwe.
 
Hii ni uongo mwaka wa 19 huu nakula hot chair na sijui hiyo kitu eti kifafa?

Kifafa which?
Kifafa when?
Kifafa where?
 
Back
Top Bottom